Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu nikushauri tena ushari wa bure na wa kawaida japo kulose kupo. Haina haja ya kucheza live Kama unao mtaji mkubwa kiasi hicho na WW kwa siku unataka 10k KWENYE Hyo 150k chukua 100k TU nenda Sweden, ujeruman,belgium, Netherlands chukua timu Moja tu weka over 1.5 lazma itakuwa na odd 1.2-1.3 hapo kla siku utakuwa ukosi 20k. Shida yetu tamaa ndo shida.japo kupoteza kupo ila sio Mara nyingi Kama kuwin maana tunapoteza Mara nyingi kwa kutokuwa na mtaji na tamaa pia. Kila la heri mkuu
 


Ujinga wa huu mchezo utafikiri tunarogwa ... unakuwa na mikakati mizuuuuuri, ukianza kucheza sasa utavurugwa weeeeee, baadae utashangaa huoni uliingilia wapi na kwa kutokea ni wapi.

Anyways, all the best & try to stick to the plan as much as possible (huu mchezo una katamaa ndani yake, very deadly).
 
Ni kwel mkuu,tamaa ni mbaya sana,mfano jana nilikua nna 100k ambayo niliivuna by same strategy toka juz.sasa nilivoona mi match ya europa ile ilivoming nkaingiwa tamaa,nikabet match tatutatu magoli zile match zote nilizigawa into 3,..na uchambuz mzur tuu..ila,kilichokuja kutokea kwenye mikeka 7 ukatik m1 tu,maana niliweka stake ya 10k kila mkeka na kupata 18k b4 kodi sasa mfano ningetulia na strategy yangu ya inplay single bet ya 1.2 odda kwa stake ya 50k si ningekua nmekula hata 30k,..so nilichogundua ni discipline tuu,ukiiweza hii bas utakua na afadhal...tatzo ukiona match nying ndo tamaa inaanza hapo,naazimia ku stik kwenye principles tuu sasa hiv,sitaamin tim yoyote hata awe barca
 
Ni kwel kabisa,...yaan kwasasa niko vzur kwenye betting sana,kuhusu strategies na uchambuz nachofail ni discipline ya ku stick kwenye plans yaan,single bet,inplay,odds 1.2 na kwa match nzur...

Tatzo match zikiwa nying tuu unadata unataka ubetie zote na hapo ndo unakwisha,kama jana,europa,unataka ubet match zote,hata kama,unazigawa kwenye makund ma3 ma3,mwisho wa siku ku loose inakua kubwa sana
 
Nisaidie jaman,Almere city DC na Barcelona gg ndo kamaanisha nini
 
Hii mbinu ni kwa wanaotafuta odd mbili
Ukienda kwenye tennis angalia cheza set handicap 1.5 angalia mtu mwenye probability kubwa ya kushinda mfano: lameck ana odd 3.2 alaf John ana odd 1.3 unampa john set handcap+1.5 odd zake huwa zinachezea 1.15

haya ukija kwenye handball we eka dc 1or 2 1st half au full time odd zake znachezea kuanzia 1.05

ukija kwenye rugby hv hv dc kama handball dc 1or2 1st half or full time

ukija kwenye Ice hookey unaeka both team to score odd zake znachezea kuanzia 1.1

ukija baseball unaeka 1st inning under 2.5 odd zakey
znachezea kuanzia 1.12

ukitafuta game sita odd mbil tayar na kama kuna ya football unaiyamin ukiongezea hapo utakuwa na pesa mfukon vitu easy ukitumia akili unaweza usiwe hata unachambua lakin ukapga pesa kwa kuangalia odd tu mim kama tennis na hyo michezo mingne huwa na check odd bas alaf na place

Napia kwenye football ukibet over 0.5 2nd half pesa ipo maana mech nyng

Sio mtu unakazana na over 1.5 mara direct win kila siku tu unapata presha angalia michezo mingine me sio expert sana ila ukinyanyua game moja moja kwenye kila mchezo maisha yanaenda vizur
 
Mkuu naamini umepost hapa kupata ushauri na maoni tofauti tofauti
Sijawahi kuwa muumini wa odd ndogo kwenye mkakati wa muda mrefu

Huu mkakati wako unataka bashiri zako ziwe za kiwango cha juu sana kwa sababu ya wastani wa odd zako 1.06 hadi 1.3. Tu assume wastani ni 1.2

Kwanza angalia rekodi ya uwiano wa won na lost kwenye bet zako (wakamalia wote lost huwa nyingi zaidi ya won)
Je una weza kushinda mara 5 mfululizo bila lost?
Kwasababu uki stake 100k kwa odd 1.2 faida ni 20k, ukipoteza mara moja utahitaji ushindi mara 5 kurudisha 100k, na ukipoteza mara 2 utahitaji ushindi mara 10 kurudisha, the more you lose the more you need more won just to recover your stake......not to make profit

Ukicheza mara 10 ukapoteza 2 tu una hasara hapo maana yake accuracy ya bashiri zako inatakiwa iwe zaidi ya asilimia 90....... can you do that? Kila la heri mkuu

Odd always zipo against na mkamalia na zinam favour bookies
Odd ndogo rahisi kuzipata lakini ngumu kurudisha stake ukipoteza
Odd kubwa ngumu kuzipata lakini ni rahisi kurudisha stake na faida ukishinda
 
⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️
βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–


16 – August – 2019

⏰ 7:30pm

🌎 GERMANY: Bundesliga

⚽️ Bayern Munich – Hertha Berlin

✍ Tip: 1/1 HT/FT Odds: 1.80
 
Vp kuhusu under 0.5
 
Mk
Mkuu kwa hiyo hizi nchi (Sweden, ujeruman,belgium, Netherlands ) zina ligi zenye magoli mengi?
 
Ni kwel kabisa mkuu...yaan na aim at kucheza game zile zenye uwezekano mkubwa tuu..sichez kila siku,kama,siku hamna game za lig nayoiweza sichez kabisa,..mfano leo game za asubuh na mchana sichez kabisa,nasubir za jion na usiku,.nachek ok kuna game gan hapo..nzur hata kama ni mbili nacheza hzo hzo tuu,stak kufos game...maana nilichogundua,game zote ambazo huwa nafos kubet nying huwa na loose,so naangalia tuu mfano leo naweza cheza ile ya barca,na bayern au na ile ya vitesse,lyon na ya galatasaray..navizia inplay zake,ntakapoona kuna ka chance ka option yoyote ya uhakika ya kutupia ya odd1.2 natupia,nsipoona nakausha,..yaan hata nkipata 10k tuu fresh,ilimrad kibubu kijae,stak kuwa milionea ila am dying trying...sabab nmeangalia mfano unapowekeza forex au fixed deposits au bitcoins,uki trade ,tena kwa mtaj mkubwa hata wa 1000$..unaeza kua unakula only elf5 .but pipo trade etc...naamin mtaj utakavokua ntakua na wigo mpana wa stake na pato linaweza ongezeka..najua lost lazma...ila ndo hvyo,tutafanyaje sasa ma bettin tunapenda or else niache..na nmedhamiria hii strategy isipoonyesha u chanya...naacha betting sabab sidhan kama kuna njia nyingne itakayokua nzur zaid ya hii

Au kama una ushaur wa njia nzur zaid naomba unipe mawazo ili nijue nafanyaje,maana mwisho wa siku biashara faida ni lazma kama hakuna faida ni bora niache..

Nambie wakamalia weng wanaofanikiwa wanafanyaje.
 
*Sports news:*

*Reporter*: How do you feel after scoring the winning goal which put your team through to the quarter finals?

*Football Player*: Am very happy. I dedicate the goal to my wife and three kids. l know they are watching. Love you guys.

This was how Zambia U-17 team was disqualified from the tournament in Rwanda. No other evidence of cheating required.

Under-17 player married with three kids? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Africa is great!
 
Kea mfano game zenyew kama hiz
 
*Sports news:*

*Reporter*: How do you feel after scoring the winning goal which put your team through to the quarter finals?

*Football Player*: Am very happy. I dedicate the goal to my wife and three kids. l know they are watching. Love you guys.

This was how Zambia U-17 team was disqualified from the tournament in Rwanda. No other evidence of cheating required.

Under-17 player married with three kids? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Africa is great!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…