So unakubali kwamba ule mkeka ume BoooomHapana. Ila mechi hiyo haitakuwapo maana imetoa draw hvyo si BOOM kama lililowekwa pichani kwa zile odds!
Hii supabet? Mbona nikitaka kuidownload inagoma?Za kwangu hizi za leoView attachment 1183100
Hii supabet? Mbona nikitaka kuidownload inagoma?
Sina acc piaMm mwenyewe ilizingua kudownload App yao so nabetia tu kupitia website yao direct
WOOOOONInPlay;
Mechi ya Flora Tallin
Over 0.5HT
Mkuu mkeka utakuwa boom isipokuwa odd za DNB hazitajumuishwaHapana. Ila mechi hiyo haitakuwapo maana imetoa draw hvyo si BOOM kama lililowekwa pichani kwa zile odds!
Mpaka sasa.Hapa kuna pesa ya magoli.View attachment 1182918
Kama huna account c unajiunga tu kupitia websites yao?? Mkuu unakwama wapSina acc pia
Umeeleza vizuri! Gud.Over 0.5 maana yake magoli yapatikane kuanzia 1 na kuendelea mfano 0:1, 1:1, 0:2, 2:1, etc Ila game ikiisha 0:0 mkeka umechanika
Over 1 maana yake ni kuwa magoli yapatikane kuanzia 2 na kuendelea mfano 2:0, 1:1, 3:1, 0:3 etc Ila kama ikitokea mechi imeisha 1:0 basi hiyo bet yako itakuwa refunded maana yake haitahesabiwa kwa tafsiri nyingine kama ulishawahi kusikia kitu kinaitwa draw no Bet basi ni sawa ni hii Ila hii wanaangalia idadi ya magoli,
Over 1.5 maana yake magoli yaanzie 2 nakuendelea mfano 2:0, 1:1, 2:1 etc Ila kama game imeisha 1:0, 0:0 basi hapo mkeka unakuwa umechanika na hapa hata kama game itaishia kwa jumla ya goli 1 hakutakuwa na option ya kurefund kwa sababu over 1 na over 1.5 ni vitu viwili tofauti.
Over 2 maana yake magoli yapatikane kuanzia 3 na kuendelea mfano, 3:0, 2:1 etc Ila kama magoli yataishia 2 exactly basi bet yako kwa hiyo game itakuwa refunded mfano game imeisha 2:0 au 1:1 hii itakuwa refunded...
Kitu cha kuzingatia ni kuwa refunding inafanyika kwa mechi ulizoweka hizo option tu!!! Maana yake mfano unamkeka wenye jumla ya mechi 5 na katika hizo mechi 5, game 2 umeweka option hizo mfano over 2 na over 3 na jumla ya odds labda 10 ikitokea hizo game mbili zimetoa exactly number of goals yaani 2 na 3 basi hazitahesabiwa, watahesabu hizo game tatu zilizobaki kama utakuwa umezipatia so kwa lugha nyingine odds kama mwanzo zilikuwa 10 basi zitapungua hazitakuwa tena 10
Aisee..Hapa kuna pesa ya magoli.View attachment 1182918
Hili ni Tank la mafutaMAMBO YENTEYENTE KOKOROOOOOO LEO TO JPILI LAZIMA KANJI ACHUCHUMAE ASIPOROGA VIZURI
Finland hii?
Haya sawa.Mkuu mkeka utakuwa boom isipokuwa odd za DNB hazitajumuishwa
So ilikua ni sahihi kabisa kusema mkeka ume Boooom
Sielewi unabisha nini hapa
Huyo ni mojawapo wa mafala ya kutupwa. Mie nshamuignore kbs!HIVI AWAMU YA NNE PIA MAMBO YALIKUWA HIVI AU NI HII AWAMU NDIYO IMEKUWA NGUMU HADI HUKU..
Copenhagen sijui anafanya nini huko uwanjani.
Mkuu hii ligi ya estonia watu watupiana goli hatari
Inakera sana, sijui ilienda kufanya nini uwanjani.Huyo ni mojawapo wa mafala ya kutupwa. Mie nshamuignore kbs!