Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Leo nimegundua kua vijana wa betting wanatumia kilevi kichwani mwao

Matusi yako na dharau zako nishakusamehe cz najua viroba vibaya sana
yaonekana wewe ulikua unasikia kuhusu kubet kutoka kwa watu au mtaani huko ,na wewe ukaingia mzigoni na ukapigwa hela kibao ukapata hasara na ukapoteza network ya ubongo..halafu nafikiri ukawashauri wale wanaobet jero wanategemea laki..wengine sisi unaweka hela kubwa timu chache unarelax unasubiri mpunga umesikia wewe TIGO
 

Unashindwa kufanya kazi unavizia betting pumbafu sana nyie
 
Kweli nimeamini nyie mmeshaharibikiwa na betting Yan mnapinga mbaka ushauri mzuri kama huu nyambafu sana nyie
 
Kweli nimeamini nyie mmeshaharibikiwa na betting Yan mnapinga mbaka ushauri mzuri kama huu nyambafu sana nyie

Unatafuta bwana naona, kumbe hata jamii forum kuna mashoga....kamshauri Magufuli , me nimejenga kupitia betting, kwa taarifa yako pia nimefungua vituo vitatu vya betting kama wakala na hii yote ni betting imenifikisha hapa nilipo sasa utaanzaje kuniambia niache ajira yangu wewe Malaya wa kiume
 

Daah jarbu kutumia lugha za kawaida wwe mtoto sio kila mtu mtto humu
 
Daah jarbu kutumia lugha za kawaida wwe mtoto sio kila mtu mtto humu

Hunijui/Sikujui ila narudia tena wewe ni kama shoga, Ungekuwa na akili ungekwenda kuwashauri vijana wanaotumia madawa ya kulevya ila sio kwenye ajira za watu. Umekosea jukwaaa
 
Leo nimegundua kua vijana wa betting wanatumia kilevi kichwani mwao

Matusi yako na dharau zako nishakusamehe cz najua viroba vibaya sana

Acha shobo kengele wew nenda kashindane na kina faiza foxy huku sio sehem yako uliingia Jf kwa mafuriko nin? Unavyoingia Jf soma maneno yaliopo kwenye hio App kabla ya kicheua gongo zako huku, faham tuu kupitia huu mchezo watu tumejenga. Tumenunua viwanja na tumewekeza kwenye biashara mbaimbali Basi serikal yako tunailipa kodi ya 18% so shutt u'r f***ck up!!!
 
Flamengo namuamini ila nimeshindwa kumvumilia nimefanya turbopayout mapema tu.

odd ya 13 inanitosha sana,

 
Mabibi na bwana jana nmemchinja mhindi m5....thnks kwa wadau wrote jmaniii@avogrado@mtoto wa nzi Root Raimundo..mhindi kma mchawi sjui nini kilinifanya nisiushee huu na wengineovwengii mkeka kwa kuamini kwamba ningekoseakosea...inawezekna kumpiga mhindi m5..avogrado tuendelezee mapambano mikeka mirefu...wa buku umeshinda wakati mingi ya msimbazi msmbazi ilibuma
 

Attachments

  • 1443376302537.jpg
    28.8 KB · Views: 205
  • 1443376372293.jpg
    110.4 KB · Views: 230
  • 1443376456477.jpg
    57.3 KB · Views: 196
Last edited by a moderator:

Man Big Up sana!

Huo mkeka hata ungeuweka hakuna ambaye angeucopy wala kuijadili.
 

Mdau pamoja... Tuendelee ku komaa na head, one day YES .
 
Last edited by a moderator:


Hongera mkuu
 
daa u make laugh mr. nazan huyu ndugun yetu kuna kinacho muuma. kwan tukibet anatapa tatizo gan. yeye keshasema anaonea huruma vijana wanao bet bac na atuache aone kama hatutatusua na maisha yanoge. yeye kama kaliwa au hajui atuache hii nayo ni sehemu ya ujasirimia mali. shulen watu walikua wanaishi kwa hii kitu na nimewaccha wakifanya hii mambo sasa anasema nn tena. cjui ata katoka wap uku na nina hakika sii mwanaume huyu na kama ni mwanaume bac ni shemale au gasho.
God sorry najua nimekukosea ila inashangza kwa watu wengine wanaodharau hili dili. ila in all watu tunatofautiana bana labda yeye mtoto wa tajir. i love god dont leave in this hard/thug life in looking for cash
 

Hongera zako mkuu
 
Last edited by a moderator:
Jamani kuna mtu ametoa kwa mpesavkwa sisi wa online kwa siku za karibuni....ushuhuda

hongera sana bhana naona hapa ulitaka ujue mtonyo unaingia lini nenda makao makuu kabisa hakuna muda wakupoteza wametunyanyasa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…