Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Idadi ya waumini wa DIRECT WIN inapungua; na baada ya hapo idadi ya mabehewa ya OVER itapungua.
Kuna watu wanaamini wanazijua timu na wachezaji, ili hali hata kocha hajui.
Wale mlio na hela za kupoteza kila la heri.
Utaachaje kitu kinachokupa pesa wewe? Yani mikeka miwili ikatae nihame? We kaa tulia. Kama hupatagi pesa mzee, it is you.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…