KAYSEPOR HT X BOOOOOOM
Okay pa1 mkuuFlashscore mechi huwa wanaonesha kweny upand wa stats!!
Okay Mkuu hiyo nayo naona itasaidia mana natumia soka24 na wana commentary piaSijui kama ipo, kama ni mechi kubwa uwaga mi ninafanya hivi ninatumia livescore then kwenye hiyo mechi unaenda kwenye commentary, uwaga wanaandika yale matukio muhimu so unaweza kuhesabia hapo
1stInplay WOOOOOON TUKUTANE KWA WAKALAINPLAY;
Mechi ya Corinthians
Over 0.5HT
2nd Inplay WOOOOON TUKUTANE KWA WAKALAINPLAY;
Mechi ya Porto
Over 0.5HT
Aiseeee...INPLAY;
Mechi ya Corinthians
Over 0.5HT
Dah... mkuu acha hizi direct asee. DohPesa nilikupenda ila kanji kakupenda zaidView attachment 1184026
BOTH HT X BOOOOOOOOOOM
Wakati we unaishukuru VAR sisi huku tunailaumu sana, ndio utakapojua kuwa hii kazi ni ngumu na Mungu hahusiki nayo kabisa. ametuachia sisi wenyewe tukanyagane na mhindi.Man c vs tot pindi iko 1-1 nikazuia goli zisizidi 4, mara chap tu zikafika nne, duh nimeangalia mpira kwa tabu sana huku nimeshika pumbu kuzuia goli. Bahati nzuri imetoa shukran kwa VAR
Boooooooom!! 3+Za kuamkia hizo...gudluck kwa watakaofuataView attachment 1183944