Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Naumia sana kila nipitiapo jukwaa la michezo na kukuta upuuzi kama wa vijana kucheza mchezo wa bahati nasibu na kusahau majukumu ya kujenga taifa na kuwaza betting tu nyie vijana mnatia aibu sana

Ha ha ha...
Basi sawaa...karibu kuna makampuni mbali mbal ya betting wew unataka kutumia lipi?...
Karibu sana tu invest..
 

Aiseee

Inabidi watu waondoe dhana kuwa mikeka mirefu huwez ku win..
Hongera sana mkuu sasa hapo umerudisha pesa yako yote na booonge la faida
 
Last edited by a moderator:
Naumia sana kila nipitiapo jukwaa la michezo na kukuta upuuzi kama wa vijana kucheza mchezo wa bahati nasibu na kusahau majukumu ya kujenga taifa na kuwaza betting tu nyie vijana mnatia aibu sana

ha ha ha ha ha nilitaka nikujibu ila nimekuheshimu tu
 
Ha ha ha...
Basi sawaa...karibu kuna makampuni mbali mbal ya betting wew unataka kutumia lipi?...
Karibu sana tu invest..

Nikaribie kwenye betting chaaa me ntakua kichaa michezo ya wanywa viroba na vijana wasio na kazi mtaani afu mm nije plzzzz naomba unitake radhi kwa kunikaribisha kwenye ujinga wenu
 
ha ha ha ha ha nilitaka nikujibu ila nimekuheshimu tu

Ukweli una njia moja tu basi Nami ntaukumbatia na kuunena siku zote pia narudia kusema betting mchezo wa vijana wazembe badlika kijana
 
Ukweli una njia moja tu basi Nami ntaukumbatia na kuunena siku zote pia narudia kusema betting mchezo wa vijana wazembe badlika kijana

Mzembe gani anachezea zaidi ya 50K kwa wiki!? Mzembe gani anachangia 18% katika pato la apatacho...
Ndugu kama huna Fani/Burudani ingine bora ukae kimya... Ushaambiwa huku watu wame invest.
Unadhani kampuni zote za betting hz wanapata hasara!? Kacheze hata Mdako basi ujenge afya...
 
hongera sana bhana naona hapa ulitaka ujue mtonyo unaingia lini nenda makao makuu kabisa hakuna muda wakupoteza wametunyanyasa sana.

Mkeka ulitiki jmosi jana nkaangaikia mpka wakanipa m5 zangu.....kumbe kule makao makuu hawatoi pesa.....nlianzia kwenda kule wakaniambia nenda tu kwenye betting shops wakupe hela yako...ukienda betting shops wanapiga tu simu wanaconfirm kisha unapewa mpunga wakoooo...saaafe kbisaa
 
Kingz we jamaa umetuamsha tuliokuwa tumelala hakika umetuamsha na hongera sana....
Ubarikiwe kwa hilo naona mfumo wao ni mzuri sana tena kwa buku.... Raimundo je umeona inawezekana mikeka mirefu? Championship, League One and Two ni nzuri sana wale hawakosani magoli... cute b umeona dear?
Tuongeze ufahamu huyu 1000 tu imempa 5mil
 
Last edited by a moderator:

Sure kila kitu kinawezekana...mzigo huo hapo...jna nimelala nao chini ya mto....
 

Attachments

  • 1443418025311.jpg
    83.1 KB · Views: 187
Last edited by a moderator:
Sure kila kitu kinawezekana...mzigo huo hapo...jna nimelala nao chini ya mto....

Hongera sana mkuuu kiukweli umetuamsha watu wengi sana na hakika kila mtu ataanza kuwa mjanga hizi win ni mbaya bora magoli kabisa...
Umeniamsha sana kabisa
 
Yule aliekuwa anapinga betting mtafute Kingz akuoneshe hizo hela ambazo uhakika ni kuwa zimezidi mshahara wako mlalamikaji... Kingz umeniamsha zaidi afu mie sijawahi kata tamaaa nacheza kama kawaida
 
Last edited by a moderator:
Nikaribie kwenye betting chaaa me ntakua kichaa michezo ya wanywa viroba na vijana wasio na kazi mtaani afu mm nije plzzzz naomba unitake radhi kwa kunikaribisha kwenye ujinga wenu

Kuna lecturer wa chuo cha saut anacheza,kwanza infact bettingnis meant for the rich.
 
ha ha ha ha ha nilitaka nikujibu ila nimekuheshimu tu




Nikaribie kwenye betting chaaa me ntakua kichaa michezo ya wanywa viroba na vijana wasio na kazi mtaani afu mm nije plzzzz naomba unitake radhi kwa kunikaribisha kwenye ujinga wenu




Ukweli una njia moja tu basi Nami ntaukumbatia na kuunena siku zote pia narudia kusema betting mchezo wa vijana wazembe badlika kijana




wembee umemuona Kingz najua utakuja tu na wewe utuunge




Kuna lecturer wa chuo cha saut anacheza,kwanza infact bettingnis meant for the rich.

Wakuu shetani akizeeka hawi malaika ila anakuwa shetani mzee na ugonjwa wa kupoteza kumbu kumbu...
Huyu wembee ni mcheza kamali maarufu sema kafulia tuu anakuja kupiga kelele humu
 

Attachments

  • 1443419681920.jpg
    23 KB · Views: 149
Last edited by a moderator:




Hunijui/Sikujui ila narudia tena wewe ni kama shoga, Ungekuwa na akili ungekwenda kuwashauri vijana wanaotumia madawa ya kulevya ila sio kwenye ajira za watu. Umekosea jukwaaa




pumbafu ni mamak alieiba mume akakuzaa wewe




Daah jarbu kutumia lugha za kawaida wwe mtoto sio kila mtu mtto humu








Mwambie bwe.ge huyu, ana dhani humu wazee wa kubet ni ma-jobless akifananisha na awaonao mtaani kwake.

Msimlaumu huyu mfanya biashara mwenzetu anaugua ukichaa...yaani serious kabisa mtu anasahau kuwa alikuwa anacheza kamari..
Kweli huu msimu mgumu
 

Attachments

  • 1443419871865.jpg
    19.7 KB · Views: 139
Wakuu shetani akizeeka hawi malaika ila anakuwa shetani mzee na ugonjwa wa kupoteza kumbu kumbu...
Huyu wembee ni mcheza kamali maarufu sema kafulia tuu anakuja kupiga kelele humu

Then anajifanya kaokoka...msengerema wewe wembee
 
Last edited by a moderator:
Naumia sana kila nipitiapo jukwaa la michezo na kukuta upuuzi kama wa vijana kucheza mchezo wa bahati nasibu na kusahau majukumu ya kujenga taifa na kuwaza betting tu nyie vijana mnatia aibu sana




Bet ishakuwa xehem ya maisha kwa vjana weng bng wengne wameuza mal kbao wamefel shule koz bet n xum kal n zaid ya madawa nma xna ila bg up 2 kwa wale wanatxua kwn n wachache xna




huu n mchezo kama michezo mingne kikubwa n kujiwekea mipaka na kutenga mda wa kucheza na kama mtu anapata faida ya kufanyia mambo yke kwnn aache but kama kla day n mtu wa kuliwa acha maramoja




Usidharau kazi za watu. Wengine hii ni part time job...tunafanya kwa mapenzi yetu.

Hahahaaaa wakati unamtusua mhindi betting ilikuwa dili ila baada ya kutusuliwa umeanza bla bla bla...
Mhindi mbayaaaaaaa sometimes lol hadi unapoteza kumbu kumbu kwamba ulikuwa mcheza kamari
 

Attachments

  • 1443420031611.jpg
    29.3 KB · Views: 163

pamoja sana Root...
nilipumzika kwa muda ila naanza rasmi kesho..mshahara wangu wa mwezi huu naondoa laki naweka kama mtaji na nitacheza kila siku mpaka mwisho nijue nimepata faida kiasi gani au nimepoteza kiasi gani...
Jana nimeona kwenye taarifa ya habari watu wana complain kuhusu kodi jinsi wanavyoikata... vip ulifuatilia?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…