Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Dah mkuu 12,000 ukapata 25,000 unakuwa umepata faida ya 3000???
Anyway sina faida bali natafuta kifuta jasho tu maana kaishaila hela yote so nitarudisha 25 tu.
Labda sijakuelewa vizuri, si umesema uli stake 10k sh ili ule 95k na zote zineshatoa lakini imebakia moja ambayo umempa mpinzani wake DC kwa kustake 12k ili usipoteza kabisa. So km huyo wa DC akitoa maana yake unakuwa umekula 25000 na jumla ya stake uliyoweka ni 10000+12000=22000 ukitoa 25000 uliyoshinda maana yake una faida ya sh 3000.
Total stake ya hadi ulipofikia ni 22000
 
Dah ni kweli mkuu maana hizo hesabu za mbali kweli.Anyway nahisi tayari jamaa kaamua kutoa 25 tu maana ******* Atletico waishakatwa 3-1dk ya 80 nowso zege kwao lazima lilale na ujenzi maana yake umeishia hapo.
 
Dah ni kweli mkuu maana hizo hesabu za mbali kweli.Anyway nahisi tayari jamaa kaamua kutoa 25 tu maana ******* Atletico waishakatwa 3-1dk ya 80 nowso zege kwao lazima lilale na ujenzi maana yake umeishia hapo.
Sio mbaya mkuu kuliko ungepoteza kabisa ila japo ulitamani sana ungegonga hiyo 95
 
Libertad vs river plate both, strongest over 1.5,juarez.vs queretaro over 1.5 hapo odds 2
 
VIDEO ASSISTANCE REFEREE




Hii kitu haijaanza mwaka huu ipo tangu miaka miwili nyuma hi n technology nzuri hasa huwapa furaha mashabiki lakini NI mwiba mchungu kwa wakamaria wengi Sana kwann unaeza fikiria n kiasi gani huku Africa imekua ikunufaisha upande wa wenye nacho tuu mpaka unafkir mbona hii refakideo inamaamuz ya upande mmoja tuu, au nenda world cup ilivyokuwa watu walikuwa wanaona maamuz ya refakideo ilkua inaziminya timu mataifa madogo kisoka na kuzipa nafasi timu kubwa.

BETTING COMPANIES NA VAR

kutokana na maamuz ya kupitia video Basi betting companies kupitia ligi wanayopatia faida kuliko n uingereza Basi wakapidi kuwashawishi kutenga fedha ili wakubali kuruhusu hii kitu japo uingereza ilikuwa ngumu mno kukubaliana na hii kitu sababu n watu wakiamua kukubaliana na Jambo flani Basi utekelezwa kwa 100% utimilifu na walijua italeta wasiwasi na hasa kupunguza ladha na huenda kupunguza mashabiki wao lakini KWASABABU ya pesa na mbinu nyingi chafu Basi wakakubali kuanza kutumia na hapohapo ndio ikawa furaha kwa betting companies kwan wanaweza kudili na mtu mmoja ambae haonekan kwa mashabiki na kuweza kukubaliana nae Mambo fulan kabla ya mechi na kukubaliana nayo kisiri kubwa Sana na hongo kubwa Sana ukitaka kujua Hilo angalia kwa umakin mechi ya city na Spurs like goli la G.Jesus kabla yakupokea mpira kule ulipotoka kunaonekana Kuna watu wamegusa mpira kwa mkono ule mpira ulipita kwenye mikono ya watu wawili pili ilikuwa ball to hand nasio handball lakin kutokana na sheria za VAR kuwa mwamuz aliamuru mpira usiende Kati angalia muda uliokuwa umepita n Zaid ya 75seconds fikiria kamasio kushangilia kwa muda mrefu city Basi mpira ungelikuwa umeanza nasio ajabu Spurs walikuwa wanaongezewa lingine au wanasazisha.

Angalia magoli ya Rahem S mengi ysmekataliwa kwa kuzid hata kidole tuu

Angalia magoli ya Chelsea dhid ya Liverpool ilvyokuwa

Angalia magoli mengi yanayokataliwa mengi n yakuipa timu kubwa ushindi au timu inayopambana Sana kupata ushindi na inauhitaji wa ushindi kulingana ba odds

Hvyo msimu huu mtarajia timu tofauti kumaliza big 6 ya uingereza sababu ya VAR nahii sidhan Kama itafika mbali itaanza kukataliwa ba timu his kubwa pamoja na mashabiki wao

NENO KWA WANAOBETI

Usijihusishe kubeti na ligi zenye VAR sanasana EPL na UEFA utajuta mzee
 
Hakuan watu tunajua kutafuta visingizio kama wakamalia......HAKUNA aisee

Utasikia, Sasa hivi ligi ziko ukingoni sio zakubet kabisa kila timu inakaza hadi za kushuka daraja

Ligi zikiisha utasikia hili friendly game sio za kubet kabisa makocha wanajaribu wachezaji na blah kibao

Ligi zikianza utasikia sasa hivi ligi hazijatulia wachezaji wajazoeana na blah blah kibao

Ligi zikichanganya utasikia direct win sio, mara ligi kubwa wana fix, mara kikapu mara hivi mara vile na blah blah kibao
Vipigo viko palepale tu

Haya sasa tunameanza na REFAKIDEO

jamani mathematically kumshinda bookies ni next to impossible, vinginevyo haya makampuni yangekua yameisha filisika lakini ndio kwanza yanaongezeka na yanamwaga mamilioni kusponsor ligi na team kwa stake zetu

Refavideo haimsaidii yeyote yule, goli likikataliwa au kukubaliwa litaathiri kote kote wa over atalia wa under atacheka, kama ulikua kuwasawazisha basi wa win to nill ata cheka wa gg atalia na kinyume chake

Binafsi toka ligi zimeanza hadi sasa nahesabu kupoteza muda ingawa sijala hasara kivile, mtaji unapanda na kushuka

So nadhani nipumzike kwa mwezi mzima kusafisha akili kisha ntarudi

All the best wakamalia
 
Tunaheshimu maoni yako,
Kama wewe ni mtu wa kubet basi kuna siku VAR itakubeba na kuna siku itakugharimu vile vile so sidhani kama kuna uhusiano wowote kati ya betting company na VAR
 
Pumzika salama tu
 
Jana nilikuwa naangalia mechi ya Heracles vs psv ... Tukio Kama lililotokea mechi ya man city na tots. Refa akaweka kati penati ...kidogo akaanza kuongea na simu ... Akaenda kuangalia kideo kurudi akafuta penati. Hapo ndipo VAR inanichosha matukio yanafanana mengi tu Ila maamuzi yanakuwa tofauti.
 
Refavideo haimsaidii yeyote yule, goli likikataliwa au kukubaliwa litaathiri kote kote wa over atalia wa under atacheka, kama ulikua kuwasawazisha basi wa win to nill ata cheka wa gg atalia na kinyume chake


Hapa dunian kunawatu wanapesa mbaya na kilasiku wanapiga akili wataipataje hyo sh hamna ya maskin ili aendelee kuwa maskin

Betting haipati faida kwenye under au over Bali n win au lose.


Kingine zile time ambazo huwa 3+ n given utashangaa sikuunacheza anayoa under au siku timu huwa haipotez homegroup lakin siku umecheza anapigwa na kibonde ambae hajawai shinda hata game 13 ukiangalia quality y wachezaji, ground, mashabiki head head vyote vinaibeba hometeam lakin hyo siku unashangaa maajabu hapo ndo ujue kuwa watu wanambinu, mipango, akili, na kauchawi saa zingine.

Ukitaka unufaike na betting fungua au kuwa partner na betting company hapo utapata pesa vinginevyo n maumivu tuu.

Ndomana wanakwambia usichezee pesa ya mboga, Ada, matibabu au ujenzi wakijua huwez kuirudisha wataichukua tuu na utachanganyikiwa mazima.

Kule 1xbet kulikuwa na 100% deposit bonus unaweka million wanakupa million jiulize deposit na withdraw wap kumezidiwa?
 


Hapo wanajua game ya PSV wengi wameipa ushindi au magoli matatu sa wanapunguza kuliwa kingine ile game ya city Kama city angewin ile game hili jukwaa lisingekuwa na uchangiaji hafifu hv Mana nusu ya wakamaria au Zaid ya robo walikuwa wanasubir city ashinde wavute Chao the same kwa PSV Jana market iliouza kwenye hyo game n 3+ namarket ya city ilkua n win angalia hata game ya Chelsea na Liverpool market iliouza Sana n win

Hvyo Hawa jamaa msimu huu watatumaliza sio Kama enzi zile miaka sita au mitano nyuma ulikuwa unaenda kwenye kimashine Cha premierbet unamwambia jamaa kwanzia namba 5 mpaka 13 wape ushind wa nyumban unasubir muda unachukua chako saiz hyo hakuna hata city kulose home kwa VAR inawezekana
 
Mtaji wangu ulikuwa elfu 5 ukafika mpaka laki 3 ndani ya siku 4 jana psg nikampa apate goli la pili nikatia 3 yote ikaja 7.5 dakika ya 80 game ilikuwa live naicheki huwezi amini mpaka sasa nimelala kazini siwezi kwenda dunia hii
Pole ndo beting ilivyo mzee baba,kuna kupiga na kupigwa,ila hakuna kukata tamaa ni kuongeza ujanja na kutumia strategies mbalimbali

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…