Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hakuna market ambayo sio uganga wa kienyeji....... hakuna
Hata wakiingia wasimame hadi dk walioweka under wata won iwe kona card au chochote
Kwasababu hakuna matokeo ambayo ni guarantee vinginevyo wakamalia tungekua mabilionea
 
Uzuri mpira hauchezwi chumbani kila kitu kipo wazi. VAR haina miaka mitatu je hapo kabla walikua wanawin?

kama mtu anaona timu kubwa hununuliwa ili kuwala wengi bac aamue kila wikend au timu kubwa.
kubet ni kubashiri yajayo ni imani jengefu ya kimazingira.
Ni sawa uambiwe tabiri hali ya hewa kesho bila vifaa, kimazoea utasema jua linawaka ikitokea mvua mtu atasema uchawi.

BET KISTAARABU Muhindi hataki hasira au kumpangia matumzi kabla ya kushinda mpunga wa maana.
 
Mkuu wanaopiga hela kwenye betting wapo sana tu mbona

Nilocho maanisha ni kwamba nikazi ngumu sana kumshinda bookies

Ili kampuni ya betting iendelee kuwepo ni lazima wakamalia wapoteze sana

Inasadikika wakamalia huwin kwa asilimia chini ya 20

Mtihani upo hapo kuwa miongoni mwa hao asilimia 20
 


Unafikiri wacheza kamari wanainvest Bei gan kwenye huu mchezo

Kuna vitu vingi Sana nyuma ya pazia kuhusu uchafu wa hongo kwenye hi biashara.

Nafkir hata ukiuluzwa tajiri mkubwa duniani utasema n bill gates au wale jamaa wa Amazon, na Alibaba kumbe sio kunawatu pesa zao haxipo kwenye vitabu pesa zao n chafu Sana na wanaenda kuzisafishia kwenye kamari.

Soma stori za kina Roman abromovich, kina Putin, hata ya kagame tuu, au michezo ya rostam axiz ndo utajua kuwa Kuna watu wanamihela na bado wanaitaman sh kumi ya maskin
 
Salam mkuu, hii wiki nimepata kipigo cha mbwa koko, na hii ni sababu ya kukosa nidhamu. Unakuta nimefanya analyze kabisa nimechagua game za kucheza. Na nimeweka mkakati nicheze odds 2.5 tu. Nikifika kwenye jamvi sasa!, nakuta nishaweka msururu mkuuuubwa wa game. Naambulia kipigo.

Nidhamu ni jambo muhimu sana kwenye hii kazi
 
Kwahiyo mkuu kabla ya VAR haijaanza kutumika wewe ulikuwa unapiga mamillion kila weekend sio.
Jana nimecheka sana, kuna mtu alimpa crystal palace over 4.5 corner kipindi cha kwanza tu crystal palace alikuwa na corner 4 tayari, jamaa akatiki mkeka teyari kipindi cha pili crystal palace hajapata corner hata moja na mkeka ukachanika.
Ingelikuwa ni wewe umebet hivyo sijui ungesemaje
 


Timu kubwa hazinunuliwi Bali zinalazimishwa kutokushinda au kutoa matokeo yaliyobetiwa kwa wingi tafuta ile video ya ile handball ya city angalia uniambie n ball to hand au n 🤾 handball

Sijasema city kanunuliwa mnielewe ila timu n nyingi zinanunuliwa.

Kila muda unavyozidi kwenda watu ndo wanaxid kuliwa na wanaxidi kuwa mateja wakudhan wanaweza shindana na bookies jiulize kwann sites xote huwa hazitofautian odds Yan huwa xinaendanaendana kwann hukuti leo pigabet wamempa Simba 1.5 na ukienda Ladbrokes unakuta Simba ana odds 4
 
Unge connect hii hadithi yako ya mabilionea na kumuhonga Var inge leta maana

Var imekuja juzi tu na hao mabilionea wapo kitambo sana

Btw kutakatisha pesa hakuhitaji kumuhonga var

Kuna game zaidi ya 1000 kwa wiki kuanzia nchi hakuna tv hadi nchi zenye var
Kama we unadhani kampuni zina mkono kwa game zote hizo basi utakua na matatizo kushindwa kuelewa kimahesabu kampuni tayari ni mshindi kwa mpangilio wa odd
 
11 Nikarudi, na kuona chini ya jua, ya kwamba si wenye mbio washindao katika michezo, wala si walio hodari washindao vitani, wala si wenye hekima wapatao chakula, wala si watu wa ufahamu wapatao mali, wala wenye ustadi wapatao upendeleo; lakini wakati na bahati huwapata
 


Nimeandika ninachokijua VAR ya England hii ilionza wiki Jana sio Kama VAR iliotumika Africa au world cup uingereza wanafuata Kama ilvyoandikwa hawapindishi Jambo lakin ukiangalia na ukaistudy vizuri kwa gamehz chache zinambeba bookies nasio mkamaria

Mimi sijaanza kubeti leo nipo namiaka Zaid ya kumi enzihzo tunaenda pale newafrica hotel hvyo nikikwambia kanunuliwa kwstimu ujue kupo tenasana tuu fixed zimo Sana enz zile ila saiz zipo ila kwa usir mkubwa Sana Yan tangu blatter kaondoka wenye mipira huko wakaanza kumwaga alichoshikilia Kama n unga anamwaga, jiko anavunja, mwenye glass anapasau Yan tukose wore ndomana huku Africa fixed haziji na zimekuwa ghali Sana kuzipata.

Pale Ladbrokes watu walikuwa wanaweka Hadi USD 50,000 Yan game Moja mtu anaweka USD 5000 Mara 10
 
Kipindi Cha 2015 kurud chin kupata 1m, sijui 2m, au zile 10 ilkua n kugusa wale jamaa wa 32 millions za premier bet Sana tuu.

Angalia jackop ya mbet inaliwa kinoma kuliko ya sportpesa jiulize kunan kama mbet apangi watu Yan Ela ikiwa nyingi anaset mtu anamtangaza fanya research washind wa jackpot ya mbet watafute kwenye social networks Kama utampata hata mmoja na washind wao wanatokea ikwiriri, kibondo, sikonge, Mara sijui Kijiji gan hakuna hata mmoja anajua social networks Yan majina ya washind wao hayamatch na huku mtaan ndo ujue huu n mchezo mchafu Kama unatafuta pesa ya kufanya maisha kupitia betting kwasasa n ngumu mno ukiotea mzee kimbia mbali Sana
 
Watu wakiambiwa fixed zipo hawaamini wanalia tuuu eti utapeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…