SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,803
- 25,451
Kabisa yani. Ni kababe ka PSG kale.Psg rennes anamsumbuaga sana hasa akiwa home hata akishinda ni kwa mbinde sana
Hakunaga ball to hand wala handball keenye sheria moya,mpira ukigusa mkono ni kosaTimu kubwa hazinunuliwi Bali zinalazimishwa kutokushinda au kutoa matokeo yaliyobetiwa kwa wingi tafuta ile video ya ile handball ya city angalia uniambie n ball to hand au n [emoji1714] handball
Sijasema city kanunuliwa mnielewe ila timu n nyingi zinanunuliwa.
Kila muda unavyozidi kwenda watu ndo wanaxid kuliwa na wanaxidi kuwa mateja wakudhan wanaweza shindana na bookies jiulize kwann sites xote huwa hazitofautian odds Yan huwa xinaendanaendana kwann hukuti leo pigabet wamempa Simba 1.5 na ukienda Ladbrokes unakuta Simba ana odds 4
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]var man a.ka.a var ref wanamset,Hao hawaongi timu wanahonga mtu anaeamua matokeo ambae haonekan kwa mashabiki huyo mtu anaekuwa manVAR huyu wazee wa mipango wanamfata wanamseti.
Pia sikuhizi timu zinanunuliwa Kama kawaida nenda Russia, China, Japan, Czech,Greece, italy, German, France league 2, English leagues 1,2,3,4,5,6, Spain laliga 2,3,4, nazingine nyingi huko
Hawa jamaa wanadatabase ya kila metchi option gan imechezwa Sana kuliko kabla ya mechi jiulize uturuki timu zote kubwa zimepigwa Galata, bekistas, na huyu wa Jana instabul baking bado leo fenebache
Bet won
SIO KWELI ETI MBET JACKPOT ANAPANGA WATU, NAKUKATALIA 200%. RAFIKI YANGU WA KARIBU AMEWAHI PIGA 284M TENA AKATI ANASUKA MKEKA, NAMI NASUKA WANGUKipindi Cha 2015 kurud chin kupata 1m, sijui 2m, au zile 10 ilkua n kugusa wale jamaa wa 32 millions za premier bet Sana tuu.
Angalia jackop ya mbet inaliwa kinoma kuliko ya sportpesa jiulize kunan kama mbet apangi watu Yan Ela ikiwa nyingi anaset mtu anamtangaza fanya research washind wa jackpot ya mbet watafute kwenye social networks Kama utampata hata mmoja na washind wao wanatokea ikwiriri, kibondo, sikonge, Mara sijui Kijiji gan hakuna hata mmoja anajua social networks Yan majina ya washind wao hayamatch na huku mtaan ndo ujue huu n mchezo mchafu Kama unatafuta pesa ya kufanya maisha kupitia betting kwasasa n ngumu mno ukiotea mzee kimbia mbali Sana
option gani mkuuMkuu direct win ni ngumu mno. Mie nakomaa na treni tu. Odds 3, 4, 5, 6 mpaka 7. Si kwamba nakula daily, hapana, ila nikila mmoja katika mitano, ni PESA.
Hapa nasubiri goli moja tu kwa braga nile pesa
ww haukulaSIO KWELI ETI MBET JACKPOT ANAPANGA WATU, NAKUKATALIA 200%. RAFIKI YANGU WA KARIBU AMEWAHI PIGA 284M TENA AKATI ANASUKA MKEKA, NAMI NASUKA WANGU
Magoli tu mzee... mimi huwa naambaa na overs n unders. Na sometimes double chances..option gani mkuu
Maritimo nimempa over 1.5 [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] baadae tuseme kanji mchawi.
[emoji28] [emoji28] [emoji28] Jamani betting kila mtu na mambo yake.Hapa nasubiri goli moja tu kwa braga nile pesa
kumbe mwenzanguMaritimo nimempa over 1.5 [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] baadae tuseme kanji mchawi.
Ni wazi kati yangu na wewe mmoja lazima aumie..
Niliishia mechi 10ww haukula
Ukisikia bao huko uniambie[emoji23][emoji23][emoji23]kumbe mwenzangu