SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,803
- 25,451
Aaaanh ... una uhakika au sioAnytime goal scorer mpe J.Lindgard, baada ya match tuonane
Ahhaaa mm nimerudi zangu Kwenye uwanja wangu Wa Inplay.Huku Zulte anashindilia Cherloi, huku Guingamp akapiga msumari first half. Asee. Betting ngumu.
Una roho ngum sana
Una roho ngum sana
Unatumia kampuni gani boss....Ukiamua kubet bet kweli kweli. Mambo ya unaweka team 5 sijuwi ngapi tunaliwa sanaaa, weka moja then weka mzigo mnene.
MeridianUnatumia kampuni gani boss....
Naona umeleta feedback ya GG...
Kuanzia leo nitakuwa nakufuata kwa single bet stake mkia wa kondoo...
Kodi yao ni 20% pia ama, naomba ukiwa una post mikeka yako unitag mkuu..Meridian
Utashangaa na roho yako. [emoji23]Man u inplay over 2.5
Hiiiiiiiii!!!..Hahahaha wacha tusubiri
wolves nishamtia normal win.
Hapa nasubiria hela yangu tu
Mwenye uhakika wa ushindi pekee ni Mungu.Man utd anashinda Mkuu usiwe na shaka tupo pamoja... Mimi nimempa man u over 1.5 odd 2.5
Hahaha mkuuUtashangaa na roho yako. [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22] Dah Under 5.5 oneni Jamani walichonifanya.
View attachment 1185511
Nimewapigia nimewatukana wameniingizia pesa yanguGame ya Dundalk imeisha zaidi ya nusu saa sasa lakini Betpawa hawaja update betsilp na mechi bado inaonekana live.....View attachment 1185726View attachment 1185727