Nimeenda nayo hii.1st InPlay;
Mechi ya Shanghai
Over 0.5HT
1st InPlay;
Mechi ya Shanghai
Over 0.5HT
1st Inplay WOOOOOON TUKUTANE KWA WAKALA.1st InPlay;
Mechi ya Shanghai
Over 0.5HT
Hongera Mkuu.Nimeenda nayo hii.
Nasubiri nyingine mkuu.Hongera Mkuu.
Itakuja na tutafunga hesabu. Nimerudi nyumbani.Nasubiri nyingine mkuu.
KaribuItakuja na tutafunga hesabu. Nimerudi nyumbani.
Wakuu bet company gani nzuri kwa inplay kwangu meridian inazingua kufunguka betpaw baadhi ya mechi hazipo...
Wana app au web?Parimatch wako vizur
App yao na web hakuna tofautiWana app au web?
Poa mkuu ngoja niwatimbie maana mkipost inplay nikiingia betpawa sioni meridian ndo inaload balaaaApp yao na web hakuna tofauti
Mi sijawahi wasiliana nao maana sijawahi pata shida yoyote mkuu ila si kuna sehemu ya kuchat nao live je nako hawajibu?Nimetumia parimatch kwa mara ya kwanza, nimepiga pesa ila hawaitoi mpk sasa. Naona na ww unatumia parimatch je unamawasiliano yao ya simu. Email hawajibu