Nausuburi mkuu niweke hata 1000. [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi nikituma wangu naweka onyo kbs usiufuate [emoji23]
Kuzuia magoli presha yake ni 180 Km/hr[emoji3]Mkuu halafu hawa watu wa jinsia tofauti utasikia tuma na yakutolea bby
Wangejua vile tunapata mapresha
Kapiga milioni 1.2 faida laki sita na pointUMESTAKE 800" 000
PAYOUT 84" 840???
AMA SIJAONA VIZURI MKUU
Ulifata au uliogopa?k
Kapiga milioni 1.2 faida laki sita na point
Parimatch hiyo match haikuwepo....Ulifata au uliogopa?
Mshahara wangu nikijumulisha ile hela uliyopiga jana na hii umeupata kwa siku mbili safi sana mkuu...Ulifata au uliogopa?
Kuna moja hiyo nimeweka 5M niko natetemeka hapaParimatch hiyo match haikuwepo....
Ila ile ya over nimeweka tayari...
MImi nitakuwa na wewe bega kwa bega, sitaki stress za container tena mkuu..
Kumbuka tu kunitag pale unapotupia slip zako...
Kama bado inacheza embu tupia nifanye kuruka nayo mkuu...Kuna moja hiyo nimeweka 5M niko natetemeka hapa
Mbona kudeposite hawaulizi kitambulisho?Unatoa kiasi gani?
Kamilisha usajili kwa kuwatumia kitambulisho chako na utapewa pesa yako. Hawa watu ni waaminifu sana.
Kama ni zaidi ya 20000 lazima uwatumie kitambulisho na ukishatuma mara moja inakuwa solved moja kwa moja.
Ha ha ha ha ha tumkimbeza kanji kimya kimya mkuu!Mkuu halafu hawa watu wa jinsia tofauti utasikia tuma na yakutolea bby
Wangejua vile tunapata mapresha
Hapo Idono kwa kweli.Mbona kudeposite hawaulizi kitambulisho?