Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Watu wana gundu humu[emoji23][emoji23][emoji23]

Proffesor kaona bora kufanya hustle zake kimya kimya
[emoji28] [emoji28] [emoji28] Mkuu siku naamua kufuata tips za Proffesor ndipo alianza kupoteza vibaya na hakuna mkeka hata mmoja ulio win.

Nimeacha kukopi mikeka ya watu, hilo gundu ni langu. Nina madhambi mengi nikikopi mkeka wako ujue tunalala na viatu.
 
Huwa unalala na nani?
Umeoa?mchukuwe mwenzi wako mkaoge baharini.
 
LASK VS CLUB BRUGGE 2-0/2-1/3-0/3-1

APOEL NICOSIA VS AJAX 2-2/2-3/3-2/3-3 BOOKING NUMBERπŸ™Z59PHT7X)
 
Hawa mikwundwu Premierbet leo hawajaweka timu za championship, league 1 an league 2 badala yake wanakuja kutuwekea mimechi ya mchanganiπŸ˜³πŸ™„πŸ™„πŸ˜³

Yaani hawa wasengerema nitawakimbia very soon, manina zao!!!

Wakuu hivi hakuna kampuni nyingine zaidi ya Meridian (nao ni mikwundwu tu) inayojitambua hapa nchini nihamie kwao?

Msaada tafadhali.
 
Hao digidigi nimewakimbia.
 
Mkuu

Kampuni ya parimatch iko njema sana. Mechi moja utakuta ina option karibu 200. Wanaweka games zote. Hutokaa ujutie... Ingia parimatch.co.tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…