Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,367
- 55,054
Nenda Parimatch achana na hao fisi maji.Asante mkuu. Ngoja nijaribu kufungua akaunti na prematch. Hawa Premier wamekuwa mikwundu sana.
Shilingi kaka. Kwa mpesa / tigo pesa. Sijawahi kuchunguza kama wanakataAsante sana mkuu. Una-deposit dola au shilingi? Hawakati hela wakati wa ku-deposit? Je, hawana matata kwenye withdraw?
Sante chief. Najiunga sasa hivi, ngoja niingize password niwe hewani bila shuruti.Shilingi kaka. Kwa mpesa / tigo pesa. Sijawahi kuchunguza kama wanakata
Wako poa sana, hasa kwenye kuwithdraw.... Dakika chache.Parimatch wa ukweli sana kaka
Of course mkuuWako poa sana, hasa kwenye kuwithdraw.... Dakika chache.
Juzi nikakutana na wakala wa Princessbet wakanipa zawadi ya vocha ya 5000 nikajaza na kuwapiga 42k. Nikatoa yote nikahamishia Parimatch.
Watu tuna dhambi [emoji23][emoji23][emoji23]
Hizi mechi parimatch hawana, shenzi kabisa...
Samahani wakuu hapa kwenye currency mbona hakuna shilingi au nimeweka vibaya adrress? Naomba mnitumie link inayotumika hapa Tanzania.Meridian ni K grade one. Kwa sasa natumia Parimatch....
Inawezekana kabisa leo tafuta odds 2. Ukipata 10k mbona unakuwa na uhakika wa kupata zaidi na zaidi.Of course mkuu
Aisee wiki mbili hizi wamenila kinoma
Mtaji wangu wa 50k umeenda na maji...
Nimebaki na 5k tu hapa... Kuikuza si itakua ni miracle?
Acha nikupe link ya Bongo.Samahani wakuu hapa kwenye currency mbona hakuna shilingi au nimeweka vibaya adrress? Naomba mnitumie link inayotumika hapa Tanzania.
View attachment 1186176
Samahani wakuu hapa kwenye currency mbona hakuna shilingi au nimeweka vibaya adrress? Naomba mnitumie link inayotumika hapa Tanzania.
View attachment 1186176
Mimi sikujaza promo code mkuu.Nisaidie promo code ya parimatch
Meridian wangekuwa na network nzuri wangekomba wateja hadi wakatae. Ila tatizo ni network ya kusukuma.Hizi mechi parimatch hawana, shenzi kabisa...
Hizi mechi parimatch hawana, shenzi kabisa...
Asante sana mkuu, najiunga leo leo. Hawa Premier ndio nimeachana nao milele leo.
Inawezekana kabisa leo tafuta odds 2. Ukipata 10k mbona unakuwa na uhakika wa kupata zaidi na zaidi.
Watu wengine bhana.. Unaulizia mabadiliko hasi au chanya? Mimi ni mkweli ila ukitaka ukweli wa asilimia mia, nenda kamuulize demu wako.Jamani hali zetu zikoje kwa kubeti tumepata mabadiliko yoyote , tuwe wakweli .
Ila hata parimatch wako vizuri sana Mkuu..Meridian wangekuwa na network nzuri wangekomba wateja hadi wakatae. Ila tatizo ni network ya kusukuma.