Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,625
- 38,750
.Mkuu nashukuru nimefanikiwa kujiunga PARIMATCH ila napata shida ktk kuchagua mechi za leo tu. Naona napata mechi za mbele na sina uzoefu wa kuchambua nipate mechi za leo tu. Msaada tutani.
View attachment 1186570
Polee mkuu...uliweka option gani?Nimeliwa 1M jana. Nipeni Pole.
Kuna yule jamaa alisema akifata mkeka wa mtu lazima uliwe! Namuomba anionee huruma ntakufa na presha.
Lipo mkuu. Tuombe litue mzee baba...Mkuu kuna treni bado lipo kwa njia linaendelea na safari?
Naona hapa kwenye betsilp yangu kuna treni linasoma kilomita 12/17
Mi sio mtaalam wa matreni nahisi nimelikopi kwako
Asante sana chief, yaani nilikuwa nimekwama kabisa. Thanks a lot.
[emoji28] [emoji28] [emoji28] Pole sana mkuu.. Tulibet kwa kufanana.Nimeliwa 1M jana. Nipeni Pole.
Kuna yule jamaa alisema akifata mkeka wa mtu lazima uliwe! Namuomba anionee huruma ntakufa na presha.
Ni kweli mkuu, nami nilitembea nalo hili Treni la tangu juzi. Limebakiza vituo vitano tu ili leo lifike Kigoma. Game zilizobaki zinanipa matumaini - Dinamo Zagreb, Young Boys, Olympiakos, Fulham na Leeds.Mkuu kuna treni bado lipo kwa njia linaendelea na safari?
Naona hapa kwenye betsilp yangu kuna treni linasoma kilomita 12/17
Mi sio mtaalam wa matreni nahisi nimelikopi kwako
Hivi Parimatch huwa hawatoi fixture za wiki nzima? Wanatoa za siku mbili tu kama inavyoonekana kwenye screen???
Treni langu LA timu 20 lilibomolewa na mechi mbili za mwisho yaan ya Barcelona na atletico na Bayern na hethaberlin nilikosa laki 8 kwa stake yangu ya buku 5 kwasababu ya hao jamaaMkuu kuna treni bado lipo kwa njia linaendelea na safari?
Naona hapa kwenye betsilp yangu kuna treni linasoma kilomita 12/17
Mi sio mtaalam wa matreni nahisi nimelikopi kwako
Zipo ligi kubwa zote...angalia chini kabisa kushoto utaona neno sportHivi Parimatch huwa hawatoi fixture za wiki nzima? Wanatoa za siku mbili tu kama inavyoonekana kwenye screen???
Mimi zilibaki Bayern na Barcelona na likaangushwaNi kweli mkuu, nami nilitembea nalo hili Treni la tangu juzi. Limebakiza vituo vitano tu ili leo lifike Kigoma. Game zilizobaki zinanipa matumaini - Dinamo Zagreb, Young Boys, Olympiakos, Fulham na Leeds.
Pamoja sana kiongozi.Zipo ligi kubwa zote...angalia chini kabisa kushoto utaona neno sport
Tuko pamojaa mkuu ukiona umeliwaa juaa tumeliwa wengiiiNimeliwa 1M jana. Nipeni Pole.
Kuna yule jamaa alisema akifata mkeka wa mtu lazima uliwe! Namuomba anionee huruma ntakufa na presha.
Na angeshinda pengine angepata mil. 12 za kununulia IST ya kumuhonga mchepuko.1M = Mifuko 77 ya cement
1M = Tofali 833
1M = Nondo 63
Dah pole sana kaka.
Pole sana mkuu mimi jana aliondoka na 50k yangu...Nimeliwa 1M jana. Nipeni Pole.
Kuna yule jamaa alisema akifata mkeka wa mtu lazima uliwe! Namuomba anionee huruma ntakufa na presha.
Mkuu wewe una roho ya paka wa Sumbawanga siyo wa Dar.Roho ngumu huwa inanisaidia sometimesView attachment 1186234
Dah Nakumbuka enzi hizo za 1xbet mtu kutajirika ni ndani ya nusu saa.Aisee, MLIOFUATA MKAWITHDRAW, Sociedade hamjawahi kuniangusha.
tehtehtehView attachment 942283
Viatu vya samaki huyoNimeliwa 1M jana. Nipeni Pole.
Kuna yule jamaa alisema akifata mkeka wa mtu lazima uliwe! Namuomba anionee huruma ntakufa na presha.
Pole kamanda linoNimeliwa 1M jana. Nipeni Pole.
Kuna yule jamaa alisema akifata mkeka wa mtu lazima uliwe! Namuomba anionee huruma ntakufa na presha.