Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

OK, vp kudeposit gharama zikoje na vipi mtu akihitaji kuipata ni lazima awe na account? Bei yake ikoje?
Kama upo Dar nitakuunganisha na BancABC utafutwa ulipo kwa 15 yako utapatiwa prepaid card yako safi kabisa. kudeposit bure kabisa, makato yapo kutoka mpesa/tigopesa/airtel money kwenda kwenye card (mfano mm nimetuma 4000 nimekatwa 400)

Ina maana kama unataka kudeposit stake ya maana bora uende kwa wakala au tawini.
 
Fulham win
charlton draw ft
Atletico Bucamaranga draw ft
boca Juniors draw ft

Bet Responsibly
 
Tunarandana vitu vingi mkuu,zesco hapo safi, ligi yao pia inakuaga na odds nzuri,team za bongo sjawahi weka maana tz bwana kwa fiigisu no way,
France ni kat ya ligi sitakag kuskia,kwnye ma jackpot nawekaga draw tu ikiwa na ukazima,all in all good strategy mkuu.
All the best
 
Anayetumia ili anielekeze jinsi ya kutumia
Nimeelekeza hapo nyuma, kwa ufupi;
Unapodeposit kiasi cha chini ni TZS 1500
MAMBO YA MSINGI
1. Utaambiwa uingize kiasi, weka 1500+
2. (GIVEN NAME) Ingiza kwa mfumo huu BARACK HUSSEIN, (Last name) OBAMA
3. Email ........ingiza email yako
4. CARD NUMBER (Ingiza tarakimu 16 za card yako.
5. CVV (Ingiza tarakimu tatu utazikuta kwenye kadi)

Kisha kamilisha muamala na utapata msg kwa simu yako na utakuta salio 1xbet, hakuna makato wakati wa deposit.
 
Mr.easy nkusumbue kidgo,jinsi ya kuwithdarw na minimum Amount?
 
[emoji120][emoji120]
 
Mr.easy nkusumbue kidgo,jinsi ya kuwithdarw na minimum Amount?
Kiasi cha kuwithdraw kinategemea thamani ya TZS v USD kwa siku husika.
Kama una akaunti ya TZS ni kati ya ya sh 130,000 hadi 140,000
Kama una USD ni $50.
Process ni zile za hapo juu yaani MAJINA MATATU, CARD NUMBER, CVV, EXP DATE, EMAIL (Samahani pale juu sikuweka exp date)
Kumbuka hizi kadi za kulipia mtandaoni (hasa zile za bank zenye owner's name nje) zipo uchi, mtu akiiona tu NADHANI anaweza kuhamisha pesa yako bila password yako.
 
═════════════════
═════════════════
► Date : 22 / 08 / 2019
► Time: 3:00 Am
► League ::Bolivia🇧🇴:league 1
► Match::Real Potosi - Royal Pari
► Tip : [ GG & 2.5 ] ○FT /over
► Odd : 2..30
 
Mkuu niunganishe na hao UBA km vipi,nipatie na contacts zao.pm naona restrict
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…