Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kweli mawakala wa kuuza mechi wapo kama biashara ya forex,kmfano soccer prediction na statarea ni MTU mmoja
 

Attachments

  • Screenshot_20190821-223813.jpg
    64.3 KB · Views: 34
Mkuu hapo kuwithdraw mbona nimechanganyikiwa hadi iwe zaidi ya laki na sehem?
 
Fulham fala sana wewe. Unajitia ujuaaaajii, mbona ulishuka ligi kuu kondoo wewe!
 
True mkuu..
Shukrani sana kwa elimu.
 
Leo nimemnasa kanji, nimetopia over 1.5 mechi zote za uefa na england championship, kanji kapatikana leo.
 
Mkuu kuna treni bado lipo kwa njia linaendelea na safari?

Naona hapa kwenye betsilp yangu kuna treni linasoma kilomita 12/17

Mi sio mtaalam wa matreni nahisi nimelikopi kwako
Ni kweli mkuu, nami nilitembea nalo hili Treni la tangu juzi. Limebakiza vituo vitano tu ili leo lifike Kigoma. Game zilizobaki zinanipa matumaini - Dinamo Zagreb, Young Boys, Olympiakos, Fulham na Leeds.
Wakuu TRENI limefika salama. Na kwa wale wote waliolifuata. Alfu tano tu, imerudisha loss ya mikeka yetu mitatu ya nyuma na faida juu....!!!



Wazee wa TAZARA, Treni hiyoooooo!!!
 
Mkuu hapo kuwithdraw mbona nimechanganyikiwa hadi iwe zaidi ya laki na sehem?
Ndio, kudeposit kima cha chini ni 1500
Kuwithdraw ni 130,000.
Siku thamani ya TZS ikishuka sana ni 128,000.
Kwa mtaji wa buku jero ukitafuta odds 2 kila siku kwa kuishinda tamaa, kwa siku 6 utakuwa na 196,000. Sema mtihani upo kwenye kushinda mfululizo bila kupoteza.
 
Piga namba +255 222 111 990 kama upo Dar, atakwambia uende tawini na 15000 na NIDA ID.
Uzuri wa hii kadi haina makato yoyote ya mwezi na unaweza kuitumia kama kadi nyingine za bank.
Pesa ikishatoka Urusi unaweza kutolea ndani bank, atm yoyote ya VISA au ukatuma kwenye mpesa yako.
 
[emoji120][emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…