Leo hali ni ngumu baadhi ya gameUEFA EUROPA mechi zote 2+
Fc kobenhvan kupata goli 3 ana 2.57 nataka nijilipue gem iko half time ushauri kabla sijaweka wapanaji wenzangu
Hahaaaa nimecheka sanaAz alkamar na ludogrotes ni mawakala wa khanji hali itakuwa ngumu sana mwaka team hazielewi kabisa,ukisema direct win hatari ukicheza magoli yana kauka kabisa,both team to score team iko home inafungwa 3 bila daaaah
Play master kweli wako vzur sema kwenye kuwithdraw ndo sjui inakuaje mm imenishindaPlay master ipo vizuri sana, option za kutosha, amna kodi na good customer care. Na unadeposit kwa mitandao yote
Espanyol dah simwelewi yaani
Gini Wijnaldum 3-1 Espanol. Mpuuzi huyu alishikilia pesa zangu nyingi sanaEspanyol dah simwelewi yaani
BOOOOOOOOOOOOOOOOM
Mkuu unanitisha, Kuna nini kwani??Unapoingia kwenye hii kazi uwe umejikana wewe, pesa zako na nafsi yako. Usijiingize huku kama bado unazipenda pesa zako za kubetia.
Usijali mkuu, Mimi ni bingwa wa kudeal na vitu vyenye addiction.Bora undelee na pombe ndugu yangu maana humu umekuja kwenye madawa ya kulevya
Ha ha ha ha ha haWadau hivi hatuwezi kuchanga mchango wabetiji wote tumnunue goalkeeper mmoja wa ligi mfano ruvu shooting aruhusu kufungwa magoli mengi sana akicheza na team kubwa kama yanga au simba.
Yaani tunampanga kwamba bwana kwenye mechi hii hata iweje hamponi, kwa hiyo ruhusu goal 8 tunakupa milioni 8 baada ya dk 90, halafu wabetiji wote tunatoka na OVER 7.5 kama NECTA iliyovuja, wengine wanajilipua na correct score 8-0 au 8-1 manake na wao wanaweza kubahatisha wakapata kagoli kamoja.