Rashford Lingard
JF-Expert Member
- Feb 9, 2018
- 938
- 1,152
Kwanini usimpe wewe tu afu ubet mwenyewe?Wadau hivi hatuwezi kuchanga mchango wabetiji wote tumnunue goalkeeper mmoja wa ligi mfano ruvu shooting aruhusu kufungwa magoli mengi sana akicheza na team kubwa kama yanga au simba.
Yaani tunampanga kwamba bwana kwenye mechi hii hata iweje hamponi, kwa hiyo ruhusu goal 8 tunakupa milioni 8 baada ya dk 90, halafu wabetiji wote tunatoka na OVER 7.5 kama NECTA iliyovuja, wengine wanajilipua na correct score 8-0 au 8-1 manake na wao wanaweza kubahatisha wakapata kagoli kamoja.
Hela inachelewa kufika auPlay master kweli wako vzur sema kwenye kuwithdraw ndo sjui inakuaje mm imenishinda
DC inamaanish timu ishinde ama i-draw,GG inamaansh timu zote mbil zfungane na NG inamaansh zcfungan ifunge tu timu mojawapo , 12 inamaansha timu yoyote ishinde ila zcdraw kwa hyo Y cjajua inamaansh nin mkuuWakuu msaada hii ina maana gani FT DC &GG/NG:12&Y
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bora undelee na pombe ndugu yangu maana humu umekuja kwenye madawa ya kulevya
Kila timu ipate goal alafu na mshindi hapatikane mfano 2_1# 4_1# 2_3DC inamaanish timu ishinde ama i-draw,GG inamaansh timu zote mbil zfungane na NG inamaansh zcfungan ifunge tu timu mojawapo , 12 inamaansha timu yoyote ishinde ila zcdraw kwa hyo Y cjajua inamaansh nin mkuu
wakuu premier nilikua naipenda sana ila kwa sasa naona mashauzi mengi....nataka kutoa kaelfu nne kangu niunge bando naambiwa ela ni ndogo kuwithdraw,....nakuja kuangalia vigezo nakuta minimum withdarw kwa voda 10000 ila kwa tigo 2000....nikajaribu kuwithdraw kwa tigo naona mambo ni yale yale.....mwenye uelewa zaidi anisaidie wakuu maana nawapigia awapokei
leo tunatokaje mkuuHao wanaruhusu kutoa hela kwa mtandao uliotumia kudeposit ... kama ulideposit kwa Voda basi withdrawal ufanye kwa voda, vinginevyo itagoma.
Sina hakika kama huu utaratibu waliubadilisha.
leo tunatokaje mkuu
HahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaWadau hivi hatuwezi kuchanga mchango wabetiji wote tumnunue goalkeeper mmoja wa ligi mfano ruvu shooting aruhusu kufungwa magoli mengi sana akicheza na team kubwa kama yanga au simba.
Yaani tunampanga kwamba bwana kwenye mechi hii hata iweje hamponi, kwa hiyo ruhusu goal 8 tunakupa milioni 8 baada ya dk 90, halafu wabetiji wote tunatoka na OVER 7.5 kama NECTA iliyovuja, wengine wanajilipua na correct score 8-0 au 8-1 manake na wao wanaweza kubahatisha wakapata kagoli kamoja.
Huyo kipa mnayeenda mlipa anaweza akapigwa sub na kocha wake kabla hata goli 5 hazijafika. Sijui utakuwa umeokoa nini ? Au wachezaji timu pinzani wasipige hata 3 shots on target vile vile sasa sijui hizo goli 8 zitatoka wapi ?Wadau hivi hatuwezi kuchanga mchango wabetiji wote tumnunue goalkeeper mmoja wa ligi mfano ruvu shooting aruhusu kufungwa magoli mengi sana akicheza na team kubwa kama yanga au simba.
Yaani tunampanga kwamba bwana kwenye mechi hii hata iweje hamponi, kwa hiyo ruhusu goal 8 tunakupa milioni 8 baada ya dk 90, halafu wabetiji wote tunatoka na OVER 7.5 kama NECTA iliyovuja, wengine wanajilipua na correct score 8-0 au 8-1 manake na wao wanaweza kubahatisha wakapata kagoli kamoja.
๐ ๐ ๐ ๐Huyo kipa mnayeenda mlipa anaweza akapigwa sub na kocha wake kabla hata goli 5 hazijafika. Sijui utakuwa umeokoa nini ? Au wachezaji timu pinzani wasipige hata 3 shots on target vile vile sasa sijui hizo goli 8 zitatoka wapi ?
Mkuu ni bomu nini?? ๐ฎ๐ฎ๐ฎTukutane baadae muda wa kufunga mahesabuView attachment 1188195