Niliweka laki tano tu presha niliyoipata haikuwa ya mchezo hata kidogo sasa sijui jamaa yangu huwa anajisikiaje lakini nampongeza kwa uwekezaji mzuriAtasema ni editing, huwa hawakosi sababu. Yote ya yote umenipa somo kubwa sana.
Mwezi wa 9 nitakuwa na stake pesa ambayo nitakuwa naacha simu kwa mtu na kumuuliza matokeo kwa simu nyingine.
Hahaha kausha mzee utanifanya niache kubetWale wa buku buku wapo busy wanamchangia za kesho... [emoji16] [emoji16]
Siku nikianza kucheza dau kubwa nitatafuta kitu cha kuniweka busy.Niliweka laki tano tu presha niliyoipata haikuwa ya mchezo hata kidogo sasa sijui jamaa yangu huwa anajisikiaje lakini nampongeza kwa uwekezaji mzuri
[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]Hahaha kausha mzee utanifanya niache kubet
Usianze kwa M anza na laki mbiliSiku nikianza kucheza dau kubwa nitatafuta kitu cha kuniweka busy.
"Sidhani ukibet kwa mara ya kwanza milioni 1 unaweza kupata hata uwezo wa kufanya mapenzi huku unawaza kuna milioni ipo kwa kanji inaeleaelea"
Sawa mkuu.Usianze kwa M anza na laki mbili
Mkuu inatakiwa unaweka mechi ikikaribia kuanza ili time ya kusubiri iwe fupiSiku nikianza kucheza dau kubwa nitatafuta kitu cha kuniweka busy.
"Sidhani ukibet kwa mara ya kwanza milioni 1 unaweza kupata hata uwezo wa kufanya mapenzi huku unawaza kuna milioni ipo kwa kanji inaeleaelea"
[emoji28] [emoji28] [emoji28] Kwa kweli. Ila nitakuwa natafuta 1.5 odds.Mkuu inatakiwa unaweka mechi ikikaribia kuanza ili time ya kusubiri iwe fupi
Mzee mwenzagu we acha tu! Mechi ya Mazembe na Simba 2nd leg pale lubumbashi niliweka kilo tano, Mazembe win & 2+ halafu Okwi akapiga goli dk ya 7 tu, tusipopata presha saiv hatuwezi pata uzeeni aiseeNiliweka laki tano tu presha niliyoipata haikuwa ya mchezo hata kidogo sasa sijui jamaa yangu huwa anajisikiaje lakini nampongeza kwa uwekezaji mzuri
Guys kwa wale wanaonza kubeti au mnaoliwa sana bila mafanikio napenda niwaambie betting ni strategies/ mbinu so unatakiwa uwe na mbinu lakini pia na malengo najua hapa wengi wetu tunabeti tu lakini hatuna malengo, ifanye betting kama seehehhemu ya ajira yako ambayo inakupatia pesa za ziada.
Usiseme kuwa mtaji wako ni mdogo kuliko Fulani big HAPANA wanasema hata mbuyu ulianza kama mchicha huo mtaji wako mdogo ndo level yako kwa muda huo lazima uwe na mbinu za kuweza kukuza mtaji wako...
Kamwe usitegemee kuweka 1000 ule 50000 utasubiri sana yaani hii inakuwa kama jackpot...
Halafu betting ni ubunifu angalia ww binafsi unaweza kufanya nini betting sio lazima kubeti mpira wa miguu kuna michezo mingine Jaribu kila upande hata kama michezo mingine huijui jaribu kujifunza utaona mwenyewe seehhemu gani ni sahihi kwako...
Binafsi pesa za muhindi huwa napiga sana kwenye basketball kuliko mpira coz nimeshaona mpira kwangu ni jau halafu basketball ninachopendea odds zake huwa ni kubwa yaani mechi 4 unaweza kupata odds 5+ za uhakika lakini mpira kupata odds 5+ nikimbembe yaani utabana pumbu mpaka dakika ya mwisho.
Kumbuka kuwa kiwango ulichonacho ndo size yako ya kubetia binafsi huwa nikijikunja mwisho naweka 15k tena hapo natembea na odds 3-5.
Kingine ujasiri unahitajika katika kubeti yaani hapa namaanisha taking risk to win big....jiamini na unachokifanya
Binafsi this week nilipigwa kama 50k but kuanzia Jana jioni mpaka kuamkia Leo kwa mtaji wa 15k nimeamka na 150k kwenye account yaani hakuna kulala kizembe mpaka kieleweke nakesha na basketball za usiku imradi salio lisome positive.....
Acha kabisa bora wewe ulishinda sasa mimi dakika ya sita tu bao zilikuwa ni bao nne na mimi nilikuwa nimeweka under ya bao tanoMzee mwenzagu we acha tu! Mechi ya Mazembe na Simba 2nd leg pale lubumbashi niliweka kilo tano, Mazembe win & 2+ halafu Okwi akapiga goli dk ya 7 tu, tusipopata presha saiv hatuwezi pata uzeeni aisee
thanksSawa mzee baba ... Thanks.
I can win 70K TZS at betPawa.co.tz, join now and win with me! https://www.betpawa.co.tz/share-897338d14
Cc MACHONDELA