Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hii trend ya EPL week hii inaonyesha team za away ndo zinapata ushindi....Je Liverpool ataharibu hii system au Arsenal watakamilisha hii trending vizur?? All in all mpira Dakika 90 watu walimdharau Yanga nikiwemo Ila amekuja kupindua meza...hapo ndo uamini odds za muhindi si kitu chochote....man u wamegama odds 9+ za bure leo
 
Hapa ni mwendo wa kutembea na mikeka ya ndugu yetu wa stake za milioni.. tumuombe aendelee kuileta hapa jukwaani.
 
unatumia app au unafanyaje kufata mechi za basket? kama unatumia app nitajie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…