The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 8,011
- 11,447
Hiv kuna uwezekano muhind akawa anatumia vumba kufubaisha akili za wanaobet wasiamue ipasavyo..au hiz ni iman tuu..Mzee uchawi upoo
Ndo mana betting apps karibia zotee hazipo playstore
Kule hamna uchawi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sijui tunakwama wapi! Ukifungua livescore uangalie matokeo yalivyonona unajishangaa labda wakati unabet ulishikiwa akili
Natk niweke mzigo mwingi je? Natakiwa nichgue team ngap?Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k
GG (maana yake tim zote zifungane).. GGGG ( tim zote zifungane kila kipindi)
2+ (katika mechi yote yapatikane magoli kuanzia mawili)...
I 2+ (kipindi cha kwanza yapatikane magoli kuanzia mawli)...
II2+ (kipindi cha pili yapatikane magoli kuanzia mawili)....
H2+ (tim ya nyumbani ipate magoli kuanzia mawili)...
A2+ (timu ya ugenini ipate magoli kuanzia mawili)...
Timu 10.Natk niweke mzigo mwingi je? Natakiwa nichgue team ngap?
Hata nami niliiamini sana asee. Matokeo yake ametuunguza mbwa hawa.Niliiamini saana aisee..
Timu 10.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapa cha msingi ni kununua timu ya mpira ili niwe na uhakika na kile nachofanya.
Ngoja nikukatishe tamaa, hii betting hata uweke timu moja mhindi akitaka hela yako anaichukua tu. Hata uhame kampuni kama unatumia akili ile ile mhindi anakufata huko huko.Natk niweke mzigo mwingi je? Natakiwa nichgue team ngap?
Wabheja mwanawane focus and attitude. GoodjobYani ukiweka mzigo mkubwa utakula sanaaa. Mimi nilianza na mtaji wa 2M lakini toka League zianze hizi week mbili nina faida ya 10M
Hahahahaaa dahTimu 10.
Mkuu unatumia kampuni gani?Mpe Simba cap ya goli -2 odds 3+ tia 100k vuta stuli subiri pesa
Hapo ndo naonaga umuhimu wa direct win ila nayo inazingua balaa,, ukiomba goli mbili haitoki ukiweka direct win inatoa sare au ulompa anapigwaJuve jana walilala 100k mbele wameshindwa kutoa over 1.5
Kingine mkuu juve hanaga goli nyingi usimwamini sana mara chache sana anatoa goli 2 au 3Juve jana walilala 100k mbele wameshindwa kutoa over 1.5