MVUNGE KWA AFYA
Member
- Mar 17, 2019
- 44
- 59
Wakuu naomben nielekezen juu ya 3 way handcap na 2 way handcap za bet pawa sizielew
Wakuu naomben nielekezen juu ya 3 way handcap na 2 way handcap za bet pawa sizielew
Google acha usumbufu.Muda mwingine wanaandika 1(away2+) sijui maana ake nn
China hovyo kabisaDuu guanghzou evergrande
Noma sana hii game niliogopa kucheza 2+ nikaweka 1-5 hata hilo goli moja hakuna. Bye bye moneyChina hovyo kabisa
Inapatikana wapi hii 1x bet??Leo nimechukua prepaid card ya Banc ABC SO soon nitakuwa Hewan kwa 1x bet
Leo nimechukua prepaid card ya Banc ABC SO soon nitakuwa Hewan kwa 1x bet
Asisahau corner, yellow card na foulHongera sana mkuu ukiingia 1xbet itafute option ya ball possession utakuja kunishukuru
Inapatikana mtandaoniInapatikana wapi hii 1x bet??