Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

All over 2.5 goals 4+ odds total gudluck.....
Wanasemaga kizuri kula na wenzio...
Screenshot_2019-08-28-08-26-13.jpeg
 
Betpawa nilishawahama kwasababu ya ujinga wao wa kuogopa kuliwa huku wenyewe wanafurahia kuwala watu....ukiangalia hizo mechi nilizoweka hapo juu utakuta moja tu ndo ipo mashubamiti hawa!!

Nimerudi Premier betting maana naona wapo vizur kwanza wanakata kodi kidogo yaani haifiki 20%, halafu asilimia kubwa ya games wanaweka Ila tu ujinga wao kuna option wanaziminya hasa kwenye basketball na handball maana mm ndo mpenzi wa huko sana!!!
 
Halafu kwa sie tunaotumia mtandao wa Vodacom hatukatwi deposit charges kama zamani, cjui kwa line zingine...

Kuna mjinga hapa anaweza kuropoka kuwa tunahama kila siku tukizani huku muhindi hatupigi, HAPANA Ila kinachofanyika nikuwa kama kampuni imeborehesha baadhi ya huduma kurudi sio case hata PARIMATCH Nilikuwa nawasifia Ila baada ya kuniwekea balance ya negative nimewakimbia mazima!!!!
Betpawa nilishawahama kwasababu ya ujinga wao wa kuogopa kuliwa huku wenyewe wanafurahia kuwala watu....ukiangalia hizo mechi nilizoweka hapo juu utakuta moja tu ndo ipo mashubamiti hawa!!

Nimerudi Premier betting maana naona wapo vizur kwanza wanakata kodi kidogo yaani haifiki 20%, halafu asilimia kubwa ya games wanaweka Ila tu ujinga wao kuna option wanaziminya hasa kwenye basketball na handball maana mm ndo mpenzi wa huko sana!!!
 
Betpawa nilishawahama kwasababu ya ujinga wao wa kuogopa kuliwa huku wenyewe wanafurahia kuwala watu....ukiangalia hizo mechi nilizoweka hapo juu utakuta moja tu ndo ipo mashubamiti hawa!!

Nimerudi Premier betting maana naona wapo vizur kwanza wanakata kodi kidogo yaani haifiki 20%, halafu asilimia kubwa ya games wanaweka Ila tu ujinga wao kuna option wanaziminya hasa kwenye basketball na handball maana mm ndo mpenzi wa huko sana!!!
Karibu Parimatch mdau... Wanaweka game zote na option za kutosha wewe tu... Nimecheza premier nimewacheua, betpawa chefu, meridian na Ubuntu server yao uchafu, princessbet nao wanachagua Sana, mchezabet mikodi, pmbet , bikobet , mkekabet, galsport bet yaani kifupi hakuna kampuni kibongobongo ambayo Sina akaunti... Ila naona walau Parimatch nimejiunga karibuni hawana uoga wanaweka mechi zote na Kodi inarudi Kama bonus.
 
Hiyo niliituma juzi mkuu labda mazingira niliyopo na mtandao maybe imechelewa samahani sana
Una uhakika ni wa kesho huu mkuu
Mechi ya Pachuca imeisha 1-1, mechi serie hiyo wa nyumbani kashinda 1-0, mechi ya Palmeiras na gremio, Gremio kashinda 2-1 ...
 
Leo sioni ma screenshots ya mikeka ku[emoji3581],hii niishara Jana wengi wamekula za uso
 
Atakuwa crystal palace huyo kasababisha
Palace ni makumaku Sana.... Norwich,Villa, soton, brighton,lyon, Sheffield utd wote double chance nkatia 50 ikaja laki na 30 ... Mamammaaaae sikuamini ... Mshenxy sana
 
Karibu Parimatch mdau... Wanaweka game zote na option za kutosha wewe tu... Nimecheza premier nimewacheua, betpawa chefu, meridian na Ubuntu server yao uchafu, princessbet nao wanachagua Sana, mchezabet mikodi, pmbet , bikobet , mkekabet, galsport bet yaani kifupi hakuna kampuni kibongobongo ambayo Sina akaunti... Ila naona walau Parimatch nimejiunga karibuni hawana uoga wanaweka mechi zote na Kodi inarudi Kama bonus.

Hahaha "Chefu" ... yani kichefuchefu
 
Palace ni makumaku Sana.... Norwich,Villa, soton, brighton,lyon, Sheffield utd wote double chance nkatia 50 ikaja laki na 30 ... Mamammaaaae sikuamini ... Mshenxy sana
Juzi kakomaa na Man U ila jana kashindwa hata kagoli kamoja, nilifurah sana alipopigwa kwenye penalt
 
Back
Top Bottom