Turudi pale Rau Madukani
JF-Expert Member
- Jan 16, 2016
- 2,793
- 5,898
Kweli kabisa, nafuta comment yangu na wewe futa quote.Kaeni kimya wapambanaji, mkuu hapa ni kama umexpose ramani ya vita!
Hawa washenzi watafahamu njia zote za kutudhibiti.
Kweli kabisa, nafuta comment yangu na wewe futa quote.Kaeni kimya wapambanaji, mkuu hapa ni kama umexpose ramani ya vita!
Hawa washenzi watafahamu njia zote za kutudhibiti.
Mikeka ya kushinda ni ile ya kuanalyse mwenyewe. Hizi prediction site utapigwa mpk uchakae. Kama huwezi kuanalyse mwenyewe bora usibetiBet analyserView attachment 1191025
Lazima asepe nacho.. amekula umeme.lyon anataka kusepa na kibubu
Wamezingua kweli daah.Lyon dah
Kweli kuna jamaa wanaitwa predictz, zulubet, forebet na adibet n.k.. FULL KUCHAKAZWAMikeka ya kushinda ni ile ya kuanalyse mwenyewe. Hizi prediction site utapigwa mpk uchakae. Kama huwezi kuanalyse mwenyewe bora usibeti
MKAKATI KUWASAJILI WACHEZA MICHEZO YA KUBAHATISHA WAJA
- Bodi ya Michezo ya Kubahatisha kuweka mfumo utakaowasajili wacheza michezo hiyo ili kuwadhibiti
- Mkurugenzi Mkuu wa bodi, amesema michezo hiyo ina madhara ya kiuchumi na kisaikolojia
Mkuu em fungua pm yako mana nimekutumia msg mda na hujajibu.Ina option nyingi mkuu hata kama ukishaplace bet ukapata mawazo mapya unaweza kucancel na kubet upya
Kwakweli wametufanyia uhuni.. ila dawa yao ipo.Betpawa wanachokifanya ni matusi. Mechi karibia zote zimelimwa block[emoji23][emoji23][emoji23]
Yap hazionekani mkuu tena sio leo tu ni kama siku nne mfululizoDaah I wish ningeziandika ila niko road nadrive back home. Hata ukizoom hazionekani?