Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,367
- 55,054
Jamaa PUNGA sana yule.Ndo Nini Sasa hii mkuu,ndo yaleyale yakuja kuwekana picha zetu apa jf michezo inanziaga huku
Jamaa PUNGA sana yule.Ndo Nini Sasa hii mkuu,ndo yaleyale yakuja kuwekana picha zetu apa jf michezo inanziaga huku
Na nyingine nyingiHao ndiyo watanifaa.
Asante sana.Na nyingine nyingi
Mzee huu mkeka umeusuka,kila nikicheki history za izo team sijaona kosa la kuto wapa ivyo ulivyo wapa labda itokee majabu ya mpiraPick ur bestView attachment 1191231
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndo Nini Sasa hii mkuu,ndo yaleyale yakuja kuwekana picha zetu apa jf michezo inanziaga huku
How?MKAKATI KUWASAJILI WACHEZA MICHEZO YA KUBAHATISHA WAJA
- Bodi ya Michezo ya Kubahatisha kuweka mfumo utakaowasajili wacheza michezo hiyo ili kuwadhibiti
- Mkurugenzi Mkuu wa bodi, amesema michezo hiyo ina madhara ya kiuchumi na kisaikolojia
hatanipata maana nabeti na line ya safaricom so mimi najulikana kama mkenyaMKAKATI KUWASAJILI WACHEZA MICHEZO YA KUBAHATISHA WAJA
- Bodi ya Michezo ya Kubahatisha kuweka mfumo utakaowasajili wacheza michezo hiyo ili kuwadhibiti
- Mkurugenzi Mkuu wa bodi, amesema michezo hiyo ina madhara ya kiuchumi na kisaikolojia
Mkuu hiyo line ya safari com kwaniliyeko dodoma naweza kuipata??hatanipata maana nabeti na line ya safaricom so mimi najulikana kama mkenya
Mkuu hizo line zinapatikana vipihatanipata maana nabeti na line ya safaricom so mimi najulikana kama mkenya
Mkuu hizi screen shot hazionekani vizuri
Hapana hazionekani chiefDaah I wish ningeziandika ila niko road nadrive back home. Hata ukizoom hazionekani?
aisee kuna magoli balaa 5,,,6Huko Czech Republic kwenye MOL cup kuna neema ya magoli lakini hawa ******* betpawa wametukwepesha kwa makusudi..
Hapa kazi tuMKAKATI KUWASAJILI WACHEZA MICHEZO YA KUBAHATISHA WAJA
- Bodi ya Michezo ya Kubahatisha kuweka mfumo utakaowasajili wacheza michezo hiyo ili kuwadhibiti
- Mkurugenzi Mkuu wa bodi, amesema michezo hiyo ina madhara ya kiuchumi na kisaikolojia
kaka mcheki jamaa anaitwa etoo namba ni 0719957092Mkuu hizo line zinapatikana vipi
kaka mcheki jamaa anaitwa etoo namba ni 0719957092
Tayari umeuza ramani ya vita kwa adui kupitia jukwaa letu.Hapa kazi tu
Si wa bitcoin na safaricom maisha yanaendelea tu
Kweli kubetia tennis ni ujinga
AISEEEE..!View attachment 1190825
Ewaaa hilo pia mimi sipendi wanavyochelewa kuupdate matokeo.
Nahama.