Mzee mwenzangu upo?Yap hazionekani mkuu tena sio leo tu ni kama siku nne mfululizo
Gal bet wakirekebisha issue yao ya withdrawal na kodi naweza kurudi kwao mazima..Karibu Parimatch mdau... Wanaweka game zote na option za kutosha wewe tu... Nimecheza premier nimewacheua, betpawa chefu, meridian na Ubuntu server yao uchafu, princessbet nao wanachagua Sana, mchezabet mikodi, pmbet , bikobet , mkekabet, galsport bet yaani kifupi hakuna kampuni kibongobongo ambayo Sina akaunti... Ila naona walau Parimatch nimejiunga karibuni hawana uoga wanaweka mechi zote na Kodi inarudi Kama bonus.
Leo sioni ma screenshots ya mikeka ku[emoji3581],hii niishara Jana wengi wamekula za uso
Hao nao hicho ndio kiliniondoa huko... Eti ukishinda mpaka uende betshop yao sasa wengine ni watu wa field/ugani kwa Sana unaweza kushinda mkeka uko maporini huko umebanwa eti mpaka uende kwenye viduka vyao ili nikera Sana...Gal bet wakirekebisha issue yao ya withdrawal na kodi naweza kurudi kwao mazima..
Ila kwa sasa ngoja niendelee na parimatch tu ingawa odds zao ni ndogo compare na kampuni zingine
Write your reply...mi nataka kubet na kampuni LA 1xbet lakin nashindwa kulipa au kutoa pesa
Niliwachana siku hiyo why deposit wakubali kwenye simu ila withdrawal mpaka utimbe dukan, nikawaambia mi npo kijijin wakasema tafuta mtu unayemuamin unampa code anatoa anakutumiaHao nao hicho ndio kiliniondoa huko... Eti ukishinda mpaka uende betshop yao sasa wengine ni watu wa field/ugani kwa Sana unaweza kushinda mkeka uko maporini huko umebanwa eti mpaka uende kwenye viduka vyao ili nikera Sana...
kwenye withdrawal wanashida gani boss?Gal bet wakirekebisha issue yao ya withdrawal na kodi naweza kurudi kwao mazima..
Ila kwa sasa ngoja niendelee na parimatch tu ingawa odds zao ni ndogo compare na kampuni zingine
Halafu sijui kwa nn hawataki kubadilika aisee..katika zama hizi za technology ilikofikia bado wanatulazimisha kubaki analogy za miaka ya 80...Hao nao hicho ndio kiliniondoa huko... Eti ukishinda mpaka uende betshop yao sasa wengine ni watu wa field/ugani kwa Sana unaweza kushinda mkeka uko maporini huko umebanwa eti mpaka uende kwenye viduka vyao ili nikera Sana...
Endelea kusikia tu, huo upuzi,Nackia V.A.R inasepa xana na ela za watu,,,,jaribuni kuepuka ligi zinazotumia VAR hasa wale wazee wakubetia magoli
under ni wachache ndugu wengi overEndelea kusikia tu, huo upuzi,
Hivi unajua kama var gori likikataliwa, aliyekuwa kaweka under, anapiga pesa,