Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu inakuwaje Premierbet Ukitoa pesa Wanakataa unakuja ujumbe wa NOT ALLOWED DUE TO PLAYER BLOCK mbona kuingiza iliingia kwa haraka?
msaada please
 
Hahhahaaha¡!!! Wamekublock mzee so huwez kutoa pesa hapo
Wakuu inakuwaje Premierbet Ukitoa pesa Wanakataa unakuja ujumbe wa NOT ALLOWED DUE TO PLAYER BLOCK mbona kuingiza iliingia kwa haraka?
msaada please
 
Huwa unatumia kampuni gani kubet hii volleyball live kiongozi
 
Uoga ndo umaskini wako mzee hata mm Leo imenitokea kuna game nimezibetia kwa macho tu na zimetoa na nilikuwa napata odds 10+ so nikawaida lakini hii inatokea pale ambapo tunakuwa na mitaji ya kimawazo....
Nimejifunza.
 
Aiseee,hakuna cha asubuhi asubuhi cha kuondolea baridi wakuu!!?
 
Wakuu Amkeni.... Amkeeni.... Wamefungwa tenaa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…