Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Haya tena it's super Saturday! Mechi Kama zote...! Ila dah sijui tunakwama wapi..binafsi Leo nimepanga kila ligi nichukue timu mbili zisizo maarufu nitambae na over 1.5 natia buku 5 naangalia inshu zingine..timu maarufu huwa sigusi najua ndio mawakala wa kanji..
 
Handball hizo twende sawa jamani....tuombeane mema maana kuna majitu huwa yakiona MTU kaweka anamuombea loss tu kwakuwa yeye katoka kupigwa[emoji16][emoji16] just joking jamani!!! Wish u all gudluck
 
Wanasema kuwa kadri mechi zinavyozidi kuwa nyingi ndo tamaa huwa inaongezeka mfano hapo umesema kila league utachukua game 2, but unaweza ukakuta league zingine unaona hata game 3 inafaa na huyo watatu ndo anaenda kuchomoa betri [emoji16][emoji16] cha msingi focus unataka odds ngapi then angalia league zako unazojua kwa magoli zipo favorable chagua kulingana na odds unazotaka then weka mzingo...angalizo odds 2-3 kwa football kwa option za over 2.5 kwa game ambazo tunasema zinauhakika itabidi uchague team kuanzia 3-4 zenye odds 1.3-1.4 ili upate total odds ya 2 au 3. Hii inafaa kwa MTU mwenye mtajia kuanzia 15000 nakuendelea ndo utaona kuna faida Ila ukiweka 5000 inakuwa nikupoteza muda tu...tunabetia 5000 kama kuna odds kuanzia 4-6 na hapa tunasema tunatake risk....All in all wish u gudluck mzee baba na wengine
 
FIBA basket imeanza leo naona mambo sio mabaya timu zinakimbizana hatari kazi kwenu mi nishatia tayari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…