Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu itabidi Mtuvumilie tuu maana Hakunaga Operation isiyokuwa na Maumivu ila mkishapona Mtayaona Matunda yake
Sasa hivi Copenhagen kanichania niliweka over 1.5, sasa si kila mtu anaweza kuweka timu 20 kwa tu odd twa over 0.5 ili upate at least odd 2, na haimaanishi huwa hatuweki mikeka ya magoli ni vile mnajikuta wajanja sana kukosoa watu na option wanazoona wao inawafaa wakati hata hiyo mikeka mnayowekaga watu wanafata na inachanika sana tu hadi wengine wanakimbia jukwaa
 
Nilijua tu ukiwepo mjomba Xhaka lazima ugawe tako daaah arsenal tunapigwa kipigo cha mbwa koko
Uko
 

Kuliwa ni Lazima ni kama Kifo hakikwepeki ila vilio vya Direct win vingi kuliko vya Over! Nafunga Mjadala ili tufanye kazi Tushushe Tips Maisha yaendelee
 
Mkuu kumbuka hii ni betting hakuna sure options. Kama unaelewa hivyo basi acha kila mtu achape kivyake.

Hizi porojo zikizidi inakuwa haina msingi. Acha kila Mtu asimamie msimamo wake
 
Leo ...

Football
-----------
Reims vs Lille - X2 & Under 4.5 (1.49)
Espanyol vs Granada CF - 1X & Under 3.5 (1.62)
Holstein Kiel vs Erzgebirge Aue - 1/2 & Over 1.5 (1.47)
-----------------
Total Odds 3.55
LOST

weekend ngumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…