Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mankampuni ya betting yanalipa kodi kwenye faida yao waliongiza inamaana mikeka yote waliokula inajumlishwa inakatwa kodi ya asilimia 25
 
Ngoja tubane magoli ...

Under 2.5 (Football - World Cup Qualification, Africa)
----------
Burundi/Tanzania
Ethiopia/Lesotho
Liberia/Sierra Leone

To Win A Set (Tennis - US Open)
------------
Belinda Bencic
Matteo Berrettini
--------------
Total Odds 5.05
 
TANZANIA
ETHIOPIA
Ht x
 
HT X
 

Attachments

  • IMG_20190904_154438_061.jpg
    25.7 KB · Views: 32
Tujaribu FIBA InPlay

Italy/Serbia - Over 41.5 4th Quarter
 
Na ndio maana makampuni ya ulaya hawatozi kabisa kodi wanajua kazi ya kubashiri mambo yajayo bila kutumia teknolojia yeyote ile ni ngumu. So kodi ni kuoneana tu.
Haya makampuni ya kitanzania ni waoga balaa, unakuta timu fulani kwenye H2H huwa hawavuki goal 3, then unakuta wao wameanzia na over 3.5 (hapo manake wanaitaka hela yako kwa nguvu, kuwin manake umechoropoka tu)
Au unakuta option yenye unafuu wa kuwin wanaificha huko! (princess bet).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…