Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Acha tu mkuu tuna kazi sana na nchi zetu hizi za mavumbini
 
Kabsa yan..
Sema kinchi chetu hiki kinaongozwa na viongoz ambao wana unazi sana, ndy mana wengi kama wangeweza kufata protocal ya betting company za nje, wangezitumia zaidi hizo kuliko hiz zetu.
 
Usinisahau kwenye issues za kona mkuj
 
dah mpaka Vilaza Djibouti wameshinda na odds zao mlimaa....
Hii kazi hapana aisee daah
 
2013 longtime sana
 

Liberia/Sierra Leone ... grrrrrrrrrrr !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…