Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Juzi nimebet timu ninayoiamini kwa lak 2 nipate lak 4.2 nimeliwa. Sikuamin. Uzur sina mwili wa presha.
 
Crdb huwa inakubali, unaweka kwenye account ya benki kisha unatuma. Au jamaa huwa ananiwekea kwa account yangu ya skrill. Nicheki PM
Hiv skrill hua haikubali mastercard? Mana kutoa hela kwao ipo kwa kiwango cha chini yan 3500
 
We jamaha wewe
 
Leo na jana nlikuwa nafatilia FIBA star times asee utabir before match kuanza ni mgum sana is better kupress live
Kwasabab unawza sema under match ikamwaga magoal balaa and vice versa
Inaonekana ni match itakayokua na magol mengi lakin upande mwengine ni kama ulivyosema ngoja tuangale itakuaje
 
Mkuu Lazima izungukie huko ndy ije mkononi mwako
Itabidi nijaribu hiyo manake njia ya kusubiri mpaka hesabu ifike usd 50 ni majaribu tosha.
Kuna muda unakuta una $30, na ukisema utafute odds 2 ili udabo mzigo ndio unakwenda na maji jumla jumla.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…