thomas_360
JF-Expert Member
- Oct 11, 2015
- 1,454
- 1,436
Buddy hatimaye tutashuudia mtanange wa kukata na shoka, Daniil Medvedev Vs Rafael Nadal.
USA ina wachezaji wengi, ila wengi wenye majina huwa wanakataa kucheza kwa lengo la kupumzika na kujiandaa kwa ajili ya msimu unaofuatia.Hivi kwenye hii michuano inayo endelea ya FIBA kwanini wachezaji wakubwa kama kina Curry, James, Lillard nakadhalika hawapo kwenye kikosi cha USA? Naomba kufahamishwa tafadhali
Haswaaaa ... and you BET is WON !!! ... BIG UP Chief [emoji109][emoji122][emoji122]
Nadhani Rafael Nadal ananafasi kubwa kushinda #USOpen kwa upande wa wanaume. Kule kwa wanawake leo patakuwa hapatoshi pia. Selena atashinda lkn Andreescu atatoa upinzani mkali ... Over 21.5 games ni nzuri zaidi, as naona kila mmoja akishinda walau set 1
.
Hiyo option huwaga kazuri..ila kikigoma tu, moto lazima uwakeMambo ya jana usiku BOOOM BET WOOONView attachment 1200475
Mkuu kwa kuangalia screen shot hapo chini set ni zipi hapo kwa mfano iyo mech ya juu wanetoa set ngapi na ningeweka over 22.5 ningekula au na izo over unaweka ni nini maana sio set, si wengne tenis hatujui kituView attachment 1200479
Natumia voda mkuu,Mbona mm inakubali faster tu unatumia mtandao gani, mm natumia voda
Sasa mm ndo vitu vinavyokuja sjajua shda n ktu ganNatumia voda mkuu,
Hiyo ya bitcoin mbn ipo kitambo na baadhi hua wanaitumiaga au kuna utofauti gani?Wazee wa mikeka tulio na Account 1XBET kuna njia rahisi ya kuweka na kutoa pesa bila kutumia SKRILL, MYBUX, BankABC card wala line ya SAFARICOM. Njia hiyo ni kupitia kununua kwa Tigopesa ,M-pesa, Airtel Money, NMB, CRDB kwenye website hii ya wafinland https://localbitcoins.com/ pia kuna APK yao alikuwa anaizungumzia Mr. Marangu .
Hapa nawafahamisha wale ambao hawajui na wamekwama kama wewe unaijua sawa mkuu.Hiyo ya bitcoin mbn ipo kitambo na baadhi hua wanaitumiaga au kuna utofauti gani?
Vipi niunge telaa?Leo naanza hivi baada ya NBA wanawake kuzingua....[emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1200458
Safi mkuu hapo nimeelewa vyemaNimeweka maelezo kwa njia ya picha, nadhani utaelewa vizuri ... (nimechukua mfano hiyo game ya Nadal vs Berrettini)
View attachment 1200485
WomenMAXB
URAWA RED GG
2.00
BLSD WEEKEND