Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu sasa leta mikeka ule pesa ya mrusi
 
internacional vs sao paolo
over 2.5--odd 2.6
over 3.5--odd5.16

weka hela yote ukiliwa nifuate pm nakulipa hela yako
 
Leo safaricom ku deposit haikubali.....imenigomea haionekan kwenye list ya mobile payments
 
internacional vs sao paulo both to score odd 2.12

ISIPOTICK nifuate pm na screenshot ya mkeka nakurudishia pesa yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…