Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mama.e Kanji
 
Unamuachia Kanji pesa mingi hivyo kwenye Acc aisee utapigwaa tuu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tukutane kesho kwenye majibu ya majaribio

Nimeweka timu 11 kwa hii option bila kufanya uchambuzi.
 
Mkuu niliona ulimpa double chance na imetoa au mkeka mwingine ulijilipua direct win
 
Mapema asubui muhindi kalia odds 11.
 

Attachments

  • Screenshot_20190908-233105.png
    16.3 KB · Views: 27
Kwanini?? Naona watu wanapigia hela na mimi ningependa kujua.....
[emoji3][emoji3][emoji3] we ona tu watu wanapiga hela, usiyoyaona ni makubwa na ya kuogopesha zaidi. Na ubaya wake huwezi kukoma kwa sababu ya addiction.
 
Naacha kuwa amini mabaharia wenzangu nime wapa wadada wa kidutch waongoze jahazi wamelizamisha 0-0
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…