Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hivi yule jamaa aliyekuwa anawekaga stake za mamilioni aliishia wapi isee maana nakumbuka game ya mwisho aliyotupia alipigwa na kanji....na before alisema anaprofit kama ya 10mil ndani ya week moja...sasa nawaza hapa hizo zote zilikuwa mbwembwe kutulingishia au ilikuwa niaje??
 
[11/09, 09:46] KING OPULENCE TWO: *75DAM*

Haiti - Curacao
Both Teams To Score: Both Teams To Score - Yes

_2.088 odds_
✅✅✅✅
*mr opulence*
[11/09, 09:46] KING OPULENCE TWO: *39eam*

_1.92 odds_

Sociedade Esportiva Palmeiras - Fluminense
1X2: Sociedade Esportiva Palmeiras
1.42 ✅✅✅
Philadelphia Phillies - Atlanta Braves
Total 2: Individual Total 2 Over (2.5)
1.16 ✅✅✅
Houston Astros - Oakland Athletics
Total 1: Individual Total 1 Over (2.5)
1.17 ✅✅✅

*mr opulence*
 
Itakuwa sasa hivi kafikisha million 50
Just joking....... Ila kanji sio mtu mzuri.
Kwenye kamari kuna kitu kinaitwa house edge
 
Huyu hapa Going Concern
 
Kumbe mtu akileta mkeka humu inaonekana kama kujionesha eeh?

Kwa taarifa yako tu, naliwa sana na nakula sanaaa. Jana nilifata Game ya Qatar Half with more goals Second Half nikaweka 2M wakapita nayo.
Lakini nikifanya analysis toka League zimeanza mpaka leo hii nina zaidi ya 20M profit. Ngoja Jmos nitakuonesha mkeka wa 5M.
 
May be anasubiri mechi za kimataifa ziishe
 
Nakuaminia baharia
 
MORNING 3 ODDS

Opava-2.5o⚽️czech
Chapecoense-1.5o⚽️Brazil
Persipura-1.5o⚽️Indonesia
Baggaley-1🏓
Nordberg,Hampus-1🏓
Maleckova,Jesika-1🎾
Rinderknech,Arthur-1🎾

Total odds
3.17

#81066540 soccabet

#FIFA19 FREE GAMES
 
Mkuu mm sijakusema kwa ubaya utambue hilo kwanza sifa ya watu wanaobet katika jumuiya kama hii kujuana hali ni vizuri so unapomuona Fulani hayupo lazima uwe doubt kidogo ndo maana nikaulizia mzee baba!! Maana muhindi hajawah kumuacha MTU salama
 
Labda yupo bze anajenga mkuu
 
Hivi hawa jamaa hata m7 tu wanakuweka kwenye bango namna hii? ... hapana aiseee !


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…