Professional Trader
JF-Expert Member
- Apr 5, 2016
- 1,220
- 1,122
sio kila.mechi ni league kubwa na mechi za.kimataifa sanasana
Kwakweli hata Mimi tabia ya kuwekana kwenye matangazo siipendiHivi hawa jamaa hata m7 tu wanakuweka kwenye bango namna hii? ... hapana aiseee !
View attachment 1204390
Hahaha mkuu hiyo ni kweli kabisa, mimi kuna siku nilimpa PSG apate magoli mawili ajabu akafungwa mbili kwa moja, siku nyingine nikaweka atoke over 2.5 goals akashinda 2 bila. Kwahiyo inatokea sana tuApo nngeweka gg mtu angepigwa 8 bila..mhnd nomaa..
0677048625Wakuu naomba contacts za premierbet kwa aliye nazo
Inawekwa kwenye game kubwa wanazo amua wenyeweHii option ya penat mbona mi siionag kwangu betpawa mzee au ?
Ahsante mkuu0677048625
Yaani siku nikiwapiga wakanitaka kifanya hivi naweza kuzikimbia na hela zenyewe aisee [emoji28][emoji28][emoji28]Hivi hawa jamaa hata m7 tu wanakuweka kwenye bango namna hii? ... hapana aiseee !
View attachment 1204390
Kumbe mtu akileta mkeka humu inaonekana kama kujionesha eeh?
Kwa taarifa yako tu, naliwa sana na nakula sanaaa. Jana nilifata Game ya Qatar Half with more goals Second Half nikaweka 2M wakapita nayo.
Lakini nikifanya analysis toka League zimeanza mpaka leo hii nina zaidi ya 20M profit. Ngoja Jmos nitakuonesha mkeka wa 5M.
UkitakakulashartiuliweHivi hawa jamaa hata m7 tu wanakuweka kwenye bango namna hii? ... hapana aiseee !
View attachment 1204390
Ukitakakulashartiuliwe
Niliachana na Sportpesa kwa sababu ya hii tabia ya kuitwa ofisini ukapige nao picha. Huku Betpawa haikuwepo hii kitu, nakumbuka niliwahi kulamba mil.8 huku Betpawa mzigo uliingia kimyakimya. Haya matangazo yao ya sasa sio poa kwa sisi MabahariaKwakweli hata Mimi tabia ya kuwekana kwenye matangazo siipendi
Ukitaka mchakato uende haraka inabidi umpigie. Mfano mimi wakati natumia bitcon nilikuwa nampigia kabisa bwana MallyaHabari yenu wazee wa kazi.
hivi wakati unanunua local bitcoin unatakiwa umpigie simu seller kuwa unataka kununua kwake au process zinakuaje?
Hahahah nimemmiss sanaHivi yule jamaa aliyekuwa anawekaga stake za mamilioni aliishia wapi isee maana nakumbuka game ya mwisho aliyotupia alipigwa na kanji....na before alisema anaprofit kama ya 10mil ndani ya week moja...sasa nawaza hapa hizo zote zilikuwa mbwembwe kutulingishia au ilikuwa niaje??
Usiingie boss .[emoji23][emoji23][emoji23]Wazee nataka kuingia kwenye hii kitu lakini sijui kampuni nzuri ya kubeti na kumalizana kimyakimya ni ipi!!