MPPWAAA NYOKOSANA HAWA JAMAAA AANAA TUHahah ... kwamba wao wanile kimya kimya hata 100m, ila mm nikiwabutua wanianike ili niwe chambo wa kuwaletea wateja zaidi. Huu ni ukuda ! Respect privacy za watu.
Watafute watu wa matangazo, ambao tunawaona kwenye mabango/matangazo mbalimbali ya kibiashara.
Waache tuendelee kulana kimya kimya hivi hivi.
Mimi huwashangaa hata wale wanaoshinda michezo ya biko, na hizi jackpot za kampuni za kubet unakuta wanakugeuza kigaragosi cha promosheni zao!!! huu ni ujinga uliopitiliza mbona wakati unaliwa hawakutangazi!!!!!?? je wanawalipa fedha za matangzo!!!? je! wanajua madhara ya kumtangaza mtu kashinda kiasi kikubwa cha fedha kiusalama na kijamii!!!?? ukoo mzima utahamia kwako kila tatizo watakufuata wewe!!!?? zaidi ya hapo michezo ya kamari ni michezo ya aibu huwa tunaifanya sirini kwa aibu sasa unakuja kutangazwa hadharani kuwa na wewe unacheza kamari?Hivi hawa jamaa hata m7 tu wanakuweka kwenye bango namna hii? ... hapana aiseee !
View attachment 1204390
hahaha mkuu mrusi sio wa sayari hii..take careLoooh! Bet imekua Lost...hata kona moja ya kusingiziwa hakuna, hawajapewa ndani ya 45 mins za awali..duuu kama uli-fix hii game[emoji47][emoji47]
View attachment 1203982View attachment 1203983
Wewe ukila gawana na wenzio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]WANASABABISHA UHASMAA KWENYEFAMILIA
Wakuu naomba contacts za premierbet kwa aliye nazo
Pole sana mkuuHao wahuni nilideposit pesa yangu wiki ya pili haijaingia kunako akaunti,wapuuzi sana
Sio lazimq uende ndipo upewe mkwanja wako sijaona kanuni inayosema tutashikilia pesa yako endapo hutakuja kutwanga photo hapa ofisiniNiliachana na Sportpesa kwa sababu ya hii tabia ya kuitwa ofisini ukapige nao picha. Huku Betpawa haikuwepo hii kitu, nakumbuka niliwahi kulamba mil.8 huku Betpawa mzigo uliingia kimyakimya. Haya matangazo yao ya sasa sio poa kwa sisi Mabaharia
Kampuni zote unamalizana nao kimyakimyaWazee nataka kuingia kwenye hii kitu lakini sijui kampuni nzuri ya kubeti na kumalizana kimyakimya ni ipi!!
u n a f i l w a m s e n g e w e w e
nimeumia pekeyangu tugawane wote loooohWewe ukila gawana na wenzio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona timu zengine azionekanitwende kaziView attachment 1204735
Usiingie boss .[emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe ukila gawana na wenzio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha...u n a f i l w a m s e n g e w e w e