SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,803
- 25,451
Hao watoto wa Salzburg ni wabishi sanaSijakaa hata sawa genk katundikwa huko hii betting/gambling
Wako vizuri sana hao ndugu zao na RB LiepzigHao watoto wa Salzburg ni wabishi sana
Hahaha ... unachonifurahisha ww huwa ni bingwa wa kukosoa options wanazoweka wengine.Yan mie naweka mpaka under 5.5 wazee wananifuata hukohuko mamamae!
Sema bingwa wa kukosoa direct win. Kuwa specific mzee. Na umeona mambo ya Inter na Lyon. Washanyoosha watu.Hahaha ... unachonifurahisha ww huwa ni bingwa wa kukosoa options wanazoweka wengine.
Ndio ujue betting haina fundi ...
Wimbo gani mkuu?[emoji23][emoji23]
Leo tutashudia meng sana, wale wa over 2.5 kwa liver na barca, jiandaeni kwa yote.