The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 8,011
- 11,447
Vp Dortmund na BarcaDirect win haijawah kumwacha mtu salama,angalau ungeenda na overs 0.5 ft ungekuwa ushafunga hesabu now.
Mbn leo hujatuma zile tiki zako za siku zoteUEFAAAAAA MWANAUKOMEEE
Dortmund wakakosa na tuta🙌🙌😀😀Over 0.5 ya Barcelona😂😂😂
Dortmund wakakosa na tuta🙌🙌😀😀
Leooo...
Moja ya kanuni tunayo ikiuka sana wakamalia ni hii ya kutaka kulipiza kisasi kwa harakaSijui nirudishe pesa yangu kwa nguvu au nilale??
Unaweza kudhani jamaa wachawi vileAliyekula leo kidume.
Bahati mbaya hata matokeo ya england nayo yamekuwa hovyo tu leo.
Yani unachapikaa mpka unashangaaa....Moja ya kanuni tunayo ikiuka sana wakamalia ni hii ya kutaka kulipiza kisasi kwa haraka
Ukipoteza hata kama ni milioni unashauriwa kwa siku hiyo usibet tena, potezea utaanza upya next day
Kaushauri tu mkuu
Kalititesa sana haka kamtindo ka kutaka kurudisha lost kwa haraka
Me kusema ukweli kwa sasa huwa nabet match mbili tu hadi 3.Moja ya kanuni tunayo ikiuka sana wakamalia ni hii ya kutaka kulipiza kisasi kwa haraka
Ukipoteza hata kama ni milioni unashauriwa kwa siku hiyo usibet tena, potezea utaanza upya next day
Kaushauri tu mkuu
Kalititesa sana haka kamtindo ka kutaka kurudisha lost kwa haraka
Kwenye hilo kundi mi unitoe, labda wamelawitiwa wengine.inter leo atalawiti wengi