Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Daaaah kweli ngombe wa masikini hazai.
Akaunti imekauka yote
 
Croatia kauzi sana timu 5 zilikua poa yeye tu ndo kazingua,ningekula laki 2 na 4o hiv,japo si mbaya juzi nimepiga laki na 26 kwa buku 5

Hongera ndg.
Ume bet kwa company gani(eg: meridian or M-Bet)?
 
Wadau kwa mara ya kwanza nimepiga tsh 71700 kwa tsh 10,000 nilimbetia ivory cost anapigwa ndo hvyo tena tembo wa maskini kazaa
 
Sasa wadau naweka mkeka wa ajabu ambayo france anafungwa na swirtland anafungwa pia
 
Ngoja nianze Mbet, iplay8 na meridian kuanzia jumamosi hii.
Hii wedi kapu imenitoa nishai kula hadi senti za mwisho
 
Wadau kwa mara ya kwanza nimepiga tsh 71700 kwa tsh 10,000 nilimbetia ivory cost anapigwa ndo hvyo tena tembo wa maskini kazaa

Hivi mbet wanabet vipi maana siielewi elewi vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…