Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mm nlicheza megamix ya mpk ijumaa..nasubiri bado mkeka haujachanika
 
ceo naomba maelekezo zaidi hapo.unatumia code zipi?
Capture.PNG

kwenye my account ndio utapata hii kitu unaweka hela afu unachagua wapi waenda withdraw either mpesa au vibandani, kwa hili sasa hawataniona huko vibandani kwao
 
Jamani leo nimenunua line ya voda ila inagoma mbet je hapa tatizo ni bado line mpya au
 
Hivi leo Colombia na Uruguay nani ataweza ibuka mshindi maana nahisi kama mshindi atakuwa Colombia kutokana na mfungaji pekee wa Uruguay kupigwa nje
 
Back
Top Bottom