Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya jamani mimi nawapa hawa Uruguay na Colombia GG dollar 20
Oya hivi iplay mbona mimi huwa sion GG
Au niwape over 2.5 nahisi kama watafunga goal zaidi ya mbili hawa watu
wape win colombia.. Ukuta wa mafioso (colombia) mgum sana chini ya kamanda yepes na zapata
Haya jamani mimi nawapa hawa Uruguay na Colombia GG dollar 20
Kijana unaeka pesa ming sana, km we ni fresher kwenye gambling nakushauri uwe unaeka ela ndogo ndogo kwnza, at least unaanza ht na dola 2 au 3,,kwa maelezo zaid google betting tips utazipata
Usiweke kitu
Jamani leo Netherlands vs Mexico na Costa Rica vs Greece predictions zikoje?
Hadi sasa moyo wangu unasita kumpa Netherlands ushindi maana mechi yao itakuwa ngumu sana na Mexico anaweza shinda
vipi kuhusu Costa Rica na Greece?
Daaah!! Muhind wa watu alikua keshaanza kucheka masikini wee...
Nasubiri costarica