Rockcity native
JF-Expert Member
- Dec 31, 2012
- 2,174
- 1,445
- Thread starter
- #2,261
Ugiriki chama la rahim baharia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
msibaaa kitu drooo!Mie huyo lazima nimpe maana anashinda leo
msibaaa kitu drooo!
Pole mkuuDah greece kaninyima laki na 20 dah inaniumaje
Goli limeniuma lile...
Nasubiri costarica
Ugiriki chama la rahim baharia
Mie nilienda lala kabisa maana nimepoteza dollar nyingi hadi naona aibu kutaja hapa
Daaaah... sio mbaya lakini usikate tamaa... ila kwa sasa ungepumzika tuu kama mimi..
hahahaa C.E.O unazingua :lol:
Naona bado hujaacha high risks, dalili tosha ya kukufanya upumzike kwa sasa na ujipange upya kwa msimu ujao ndugu..
Hahaaahaa...! Naona vijana mnapasuka tuu. Mimi kwa sasa ni mtazamaji kwa kusema kweli. Nikibet naweka mzigo katika basketball tuu. Tena live betting.
Yaani mie kwa kweli wamekula vidola vyangu ila rasmi nakaribia kuacha betting hadi EPL ianze maana najua mwanzoni nitakula hela sana
One day yes ndugu...
Wadau hii handcap ya mbet imekaaje?naombeni kujuzwa wandugu
Jamani tuache kuwekea ushindi timu zilizopewa odds chache kuna kitimu kimepewa 1.01 nyingine imepewa 2.3 yule wa 2.3 hadi sasa ameshinda, thanks God niliweka over 2.5
game gani hyo?
Itakua ni ile ya south korea kg challenge cjui
game gani hyo?
Uko rightItakua ni ile ya south korea kg challenge cjui
baharia chama lako ugiriki jana limechania wananchi mikeka