Going Concern
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 1,071
- 1,212
Ndio waweza draw kwa Mpesa, Tigo Pesa Baclays bank, CRDB, Netteller etc
kubwa baadhi ya match zimeandikwa 93+ nyingine 73+ nini maana yake?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio waweza draw kwa Mpesa, Tigo Pesa Baclays bank, CRDB, Netteller etc
kubwa baadhi ya match zimeandikwa 93+ nyingine 73+ nini maana yake?
mi nimekosea mara moja tu tangu world cup ianze kwenye ile gem ya Mexico....sababu nabet over 2.5...nii gemu moja tu ndo imekua under 2.5! ila naanza over 1.5 to be more safe!!
mkuu nini maana ya over 2.5 au under 2.5 and over 1.5?
Finaly nimesuspend betting hadi august msimu ukianza
Finaly nimesuspend betting hadi august msimu ukianza
hahaha...imekuaje!?
hahahahaa naona maji ya shingo lakin usikate tamaa,, one day yes!
andybird314
Finaly nimesuspend betting hadi august msimu ukianza
Nazisubiri kwa hamu ligi zianze mimi world cup nilitulia tu sikuweka mkeka
Mkuu ulipotea sana! WC ngumu mno.
Inakuaje wadau Nina swal kwa wale Wa iplay8 et mbona min nime2ma ela many account yang kwa mpesa cha kushangaz hawajantext confm codes Na ela wamechkua
Wadau tupeane maujanja kwenye hzi ligi za scandinavia