peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee wazee wenzangu, nimejaribu bahati nikabahatika, meridian bet online jana wameweka mechi nyingi sana online za ligi mbalimbali duniani pamoja na international friendly matches, nilichofanya nikachagua timu iliyoko nyumbani ata kama siijuwi lakini iliyopewa odds ndogo lakini timu pinzani imepewa odds kubwa, kwaiyo nilichagua odds kuanzia 9.1 kwenda juu............. hii inamaana gani timu iliyopewa odds kubwa hivyo kuanzia 9.1 kwenda juu kushinda nivigumu sana, nikawa nazipa zile za nyumbani tu, nikachagua timu 23 na zote zikashinda, niliweka 5000 nimeondoka na 780,820 nafuraha sana wandugu, na hapo M-BET nimeshawapiga kama 60,000 niliweka 5000
andybird314 Rockcity native rahim_baharia :majani7::majani7::msela::msela::cheer2::cheer2::welcome::bump2::bump2::bump2: