Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nasubiri kombe la dunia liishe zije mechi za kirafiki

Hata mimi nasubiri sana hizi mechi za pre season na friendly
mechi za kirafiki kama ni za club mbona zishaanza kitambo! kuna siku celtic alicheza na kuban krasdor akanipa pesa ya kutosha alipewa odd kubwa ya 2.6 nikampa anashinda na magoli mawili odd ikaja 2.9, nikaweka laki nikapiga 290. na leo celtic anacheza ila amepewa odd ndogo 1.44, anacheza na dukla.

mechi za kirafik kama ni za club kwa leo zipo zaid ya 20 na kesho na kuendelea...
 
kama ni ligi, ligi nyingine tu zipo vizuri ligi ya australia divisheni ndogo, ligi kuu ya ireland zote leo na kesho kuna match nzuri tu za pesa tamu.:cool2:
 
Ngoja leo nimekula tayari hapa nataka niitumie hiyo hiyo kuzalisha hela nyingine nyingi tu
 
umekula ligi gani na umetumia kampuni gani mkuu? lakini si ulisema uchezi tena mpaka mwezi wa nane mkuu?

Meridian ndio naitumia.
Hata leo nimeona Fulham anacheza nikaona si mbaya kumpa.
Nilisema sichezi ila hizi friendly matches si mbaya
 
mkuu friendly match wakati mwingine majanga, wachezaji muhimu huwa wachezi. na timu huwa wanacheza nare-nare kushinda kwao hakuna umuhimu. jana celtic kanichania mkeka wangu yani katoa droo na timu mbovu dukla praha.
 
Huo ndio ubaya wa hizi timu ila Man city hawezi angusha hivyo
 
Game za kirafik nyingi majanga. Wachezaji wengi tegemeo wapo likizo maalum ya uchovu wa worldcup. Kwa maana hiyo vikosi vya pili ndo vinachukua nafasi. Mfano mzuri juzi fc basel kaangukia pua kapigwa 4 tena kwake.
 
Hizi friendlies hadi uzibahatishe poa sana vinginevyo utauawa bure
 
man city juzi alipigwa na dundee fc hadi aibu, 2-0
wachezaji karibu wote kuanzia kipa ni kikos cha pili
 
Sio juzi bali jana ndio kapigwa na hao dundee afu dundee alikuea na 9 odds
 
Asanteee angalau nimepata leo.
Jamani leo kuna friendlies nzuri sana karibuni
 
Back
Top Bottom