Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,643
- 44,320
Mie nimetoa hela yote ikiliwa nitatafuta ingine
Kesho nataka niweke hela meridian
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie nimetoa hela yote ikiliwa nitatafuta ingine
Anataka nyingi wakati jana croatia kaninyma hela
Croatia kauzi sana timu 5 zilikua poa yeye tu ndo kazingua,ningekula laki 2 na 4o hiv,japo si mbaya juzi nimepiga laki na 26 kwa buku 5
Daaaah kweli ngombe wa masikini hazai.
Akaunti imekauka yote
Utatafuta "ingine" ulisema!
hivi unadeposit vipi Bet365 au Ladbrokes!?anaefaham plz
Bet365 hapo visa card na master card vyahusika
Croatia kauzi sana timu 5 zilikua poa yeye tu ndo kazingua,ningekula laki 2 na 4o hiv,japo si mbaya juzi nimepiga laki na 26 kwa buku 5
we shukuru tuu hapo utaweka vocha week nzima..
Wadau kwa mara ya kwanza nimepiga tsh 71700 kwa tsh 10,000 nilimbetia ivory cost anapigwa ndo hvyo tena tembo wa maskini kazaa
Hongera ndg.
Ume bet kwa company gani(eg: meridian or M-Bet)?
Wadau kwa mara ya kwanza nimepiga tsh 71700 kwa tsh 10,000 nilimbetia ivory cost anapigwa ndo hvyo tena tembo wa maskini kazaa
Sasa wadau naweka mkeka wa ajabu ambayo france anafungwa na swirtland anafungwa pia
Unakula shi ngapi?