Nimejitoa muhanga hivyo hivyo mkuu. Hahahaha!!!!Ludogorets ni mjinga sana
Nimjitoa uhanga mkuuDuh!! mkongwe nimeshangaa sana yani na wewe unacheza option ya 1*2 kwenye karne ya sasa hivi ya mpira wa formula ambapo chochote chaweza kutokea sii timu yenye jina kubwa wala timu inayodhaniwa ni dhaifu!!!!!😵😵😵😵😵😵😵😵😵😵
First of all ni lazima card yako iwe inasupport online purchase Kama haijawa activated unaenda tawi lolote la NMB wanaiactivate ni BURE Kama tayar ishakua activated kufnya online purchase unaenda Ixbet sehem ya deposit unaclick cards pale Visa or MasterCard inafunguka menu unaclick kitufe Cha MasterCard then inakuja menu unajaza first name and last name unajaza expired date of card unajaza card number zpo nyuma ya card zile nyingi pana zipo nne nne Zina space then kwenye CV Kuna namba tatu pale kwenye card sehem ya signature unajaza zile after that unaclick pay inakuja menu unapokea SMS ina code unaingza kwneye hiyo menu then submit sekunde zero tu unapokea SMS ya NMB umelipia sekunde hiyo hiyo pesa inasoma kwenye account yko na kuwithdraw ni vise versa ya depositTuelekeze unafanyaje kwakutumia hiyo NMB mastercard.
Inachukua muda gani kudeposit na kuwithdrawal??First of all ni lazima card yako iwe inasupport online purchase Kama haijawa activated unaenda tawi lolote la NMB wanaiactivate ni BURE Kama tayar ishakua activated kufnya online purchase unaenda Ixbet sehem ya deposit unaclick cards pale Visa or MasterCard inafunguka menu unaclick kitufe Cha MasterCard then inakuja menu unajaza first name and last name unajaza expired date of card unajaza card number zpo nyuma ya card zile nyingi pana zipo nne nne Zina space then kwenye CV Kuna namba tatu pale kwenye card sehem ya signature unajaza zile after that unaclick pay inakuja menu unapokea SMS ina code unaingza kwneye hiyo menu then submit sekunde zero tu unapokea SMS ya NMB umelipia sekunde hiyo hiyo pesa inasoma kwenye account yko na kuwithdraw ni vise versa ya deposit
Na transactions fee zikoje??Inachukua muda gani kudeposit na kuwithdrawal??
Gharama za hiyo Mastercard kwa NMB zikoje??
Dakika moja tu mm pesa inaingia km card unayo ni bure ku activate card km huna account Wala card kufungua account ni elf10 unaenda NMB na ID yako na elf10 wanakufungulia account unapewa card yko unaondokaInachukua muda gani kudeposit na kuwithdrawal??
Gharama za hiyo Mastercard kwa NMB zikoje??
haha.. na option ya "own goal" japo ina odd ndogo..Kuna option tamu jamani niwapeni ipo Playmaster,possibility ya kushinda kama si 100% basi ni 90% nayo ni substititute player HT Under 0.5 odd ni 1.2 na over 0.5 odd ni 4.4 sasa ww select under,nakuhakikishia utakuja kunipa mrejesho wake,pia kuna FT under 5.5 odd ni 4 wakati over 5.5 odd ni 1.2 sasa ww hapa select over 5.5 jamani inatoa sana na si pasua kichwa kama zingine.Ila ya HT ndo inatoa zaidi.Kazi kwenu.
Kwa kweli transaction fee sijaijua Mana nikiangalia salio lngu kutoka nilpodepist bac sijagundua ni shingap ila nilchonotice hakukua na tofaut hata ya shimmiatano mara ya mwnzo nilideposit elf45 nikaangalia salio cjaona tofaut hata ya miatano ilopungua Sasa cjajua hapo km ni bure au Mia ngap nilchojua cjaona kupungua sana pesa yngu labda kwenye simbank wanakata nafkir na unaweza kufungua simbank ukahamisha pesa kwenda bank to sim au sim to bank mda wowote km huez kwenda bankNa transactions fee zikoje??
Vip mzee mwenzangu! Hii kitu uliijaribu??Nakuja huko nasubiri utoe kwanza mkuu
Man u anaondoka na kijiji
Nduguzani Tangu nianze kubeti sijawahi shinda hata siku moja,naombeni msaada niweze nami kufaidi hela za kanji.
Mpaka sasa nishapigwa elfu86.
Ni laki kasoro hiyo.
Please msaada
mi nishapigwa 14m na point hiviNduguzani Tangu nianze kubeti sijawahi shinda hata siku moja,naombeni msaada niweze nami kufaidi hela za kanji.
Mpaka sasa nishapigwa elfu86.
Ni laki kasoro hiyo.
Please msaada